CPA Amos GABRIEL makalla amsikilize sahivi yupo Dar Es Salaam anamwaga mavitu. Namfahamu Makalla ni mwanasiasa hodari aliyekulia na kulelewa kisiasa. Hana mambo ya siasa za kishamba, amezaliwa mjini Dsm siyo nyie kina Masanja mmeingia jana. Anajua mipaka ya majukumu yake, siyo kupotosha wananchi eti unaweza kutatua matatizo yao jukwaani kwa kuwapigia viongozi wa serikali simu, ule ni ushamba na kutojua majukumu yako. Ila kwa kuwa CCM inaweza kulea vijana wake itakubadilishia kitengo kistaarabu.