Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
In short Watatuzi wamegeuka kuwa Matatizo sio Waliopo au Wanaokuja...; Ni kama Mapaka yote yameungana..., ya Mtaani na Nyumbani kufuja mali ya Tajiri na yanafuja kweliweli kuliko hata wale panya walivyokuwa kabla hatujachukua uamuzi wa kuleta hawa Paka....
Ushauri wa Paka, It does not matter if a Cat is Black or White so long as it catches Mice; Na Mice ni Kuondoa Umasikini, Ujinga na Maradhi kwa kuhakikisha rasilimali zetu zinatumika kufanya hayo.
Ushauri wa Paka, It does not matter if a Cat is Black or White so long as it catches Mice; Na Mice ni Kuondoa Umasikini, Ujinga na Maradhi kwa kuhakikisha rasilimali zetu zinatumika kufanya hayo.