Aisee ?!!!!!Aliyesema maneno hayo alikua ni Deng Xiaoping mwaka 1962
Huyu jamaa alikua Economic philosopher
Alimaanisha,Uchumi uliopangwa planned economy au uchumi wa soko market economy, ni chombo cha kusambaza rasilimali pekee na hauhusiani na taasisi za kisiasa,
kwa maneno mengine alimaanisha kua,ujamaa unaweza kua na uchumi wa soko market economy,na ubepari unaweza kua na uchumi uliopangwa planned economy,
Hii nadharia ya Paka ilipata kutambuliwa sana ndani ya China.
Kumbe uliandika kitu usichokijua,pole sana,pamoja na kujItahidi kuandika maelezo marefu na mifano ambayo ni out of the topic,unawezaje kubadili maana ya msemo uliosemwa na mtu?Aisee ?!!!!!
Hii ndio shida ya kukariri mambo mkuu, misemo au chochote kile ni kama nyenzo unayoweza kuitumia popote pale...; naweza kuingia Bar na Kutafuta mtu wa kupunguza nae Stress badala ya kusema utazunguka Butcher zote nyama ile ile nikasem it does not matter the color of the Cat so long as it catches mice - Mkuu jifunze kufikiri nje ya Box...; And by the way Political Parties are divided across ideologies, na politics ni deciding means and ways of diving resources; hivyo A inaweza ikawa na one way of doing things na B the other way Hence it does not matter how you call it so long as it brings results...
The phrase "it doesn't matter if a cat is black or white" means that the effectiveness or results of something are more important than the methods or appearances used to achieve them. This saying, popularized by Deng Xiaoping, emphasizes pragmatism in economic and political approaches.
Ushauri: Think Outside Box
Sasa na wewe ngoja nikupe kitu ambacho hukijui (Msemo huu ulikuwa popularized na Deng Xiaoping Je yeye ndio alikuwa wa kwanza kuusema ?!!!!!Kumbe uliandika kitu usichokijua,pole sana,pamoja na kujItahidi kuandika maelezo marefu na mifano ambayo ni out of the topic,unawezaje kubadili maana ya msemo uliosemwa na mtu?
Mimi nimeweka msemaji alimaanisha nini alivyosema hivyo,wewe unataka uutumie huo msemo na issue zako za chuki za kisiasa,sijui kufuja mali!!
Jielimishe hapa kidogo..
Naona hata hiyo link hujaisoma,Sasa na wewe ngoja nikupe kitu ambacho hukijui (Msemo huu ulikuwa popularized na Deng Xiaoping Je yeye ndio alikuwa wa kwanza kuusema ?!!!!!
Kwenye document yako mwenyewe uliyoleta hebu soma uone kama Wachina walikuwa hawana huu msemo ? Alafu rudi hapa tuendelee
ngoja twende polepole kwenye link yako mwenyewe nakueletea haya maneno (kumbuka hii ni link uliyoleta wewe)Naona hata hiyo link hujaisoma,
Mkuu kama wewe una la kuchangia popote wakati wowote you are welcomed ila sio lazima and I had rather watu wawili au hata mmoja kuchangia mada kulingana na mada yenyewe (mjadala na sio for the sake ya kujaza Uzi) - Ningekuwa mtu wa kutafuta comments si ningefungua ID's kumi na kuwa najijibu mwenyewe - Ila case in Point ni kwamba nasema nachotaka kusema wakati nataka kusema sio ili mtu ajibu (and for that am thankful sababu am not shallow)Anyway nimekusaidia kujaza comment kwenye uzi wako coz naona wana wameususa.