Aliyesikia fursa za kazi zilizotangazwa na chuo cha NIT atujuze hapa

Aliyesikia fursa za kazi zilizotangazwa na chuo cha NIT atujuze hapa

David hustle

Member
Joined
May 11, 2021
Posts
18
Reaction score
13
Mmesikia Clouds FM Radio leo asubuhi kuhusu fursa mbalimbali za kazi huko Canada

Kama kuna aliyesikia fursa za kazi zilizotangazwa na chuo cha N. I. T atujuze hapa.
 
Mmesikia Clouds FM Radio leo asubuhi kuhusu fursa mbalimbali za kazi huko Canada

Kama kuna aliyesikia fursa za kazi zilizotangazwa na chuo cha N. I. T atujuze hapa.

Sio fursa mbali mbali za kaz bali ni fursa ya kazi kwa madereva tu,wamesema wanashirikiana na serkali pamoja na NIT ila bado wapo kwenye mchakato na utakapokua tayar basi watajulisha umma jinsi ya kuwasilisha maombi yao,kigezo ni uwe dereva mwenye uzoefu pia usiwe na umri chini ya miaka 25,nawasilisha
 
Back
Top Bottom