Sio fursa mbali mbali za kaz bali ni fursa ya kazi kwa madereva tu,wamesema wanashirikiana na serkali pamoja na NIT ila bado wapo kwenye mchakato na utakapokua tayar basi watajulisha umma jinsi ya kuwasilisha maombi yao,kigezo ni uwe dereva mwenye uzoefu pia usiwe na umri chini ya miaka 25,nawasilisha