Aliyesikiliza hotuba ya Waziri wa Elimu atujuze yafuatayo

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
538
Reaction score
70
Jaman Wana Jf
Kwa Aliyebahatika Kusikiliza Hotuba Ya Waziri Wa Elim Siku Ya Maadhimisho Ya Elim Mwaka Huu Yaliyofanyika Dodoma! Je? Nikweli Kwamba Wazili Alitangaza Kwa Wahitimu Wa Kidato Cha Nne(2014) Waliopata "credit Ya Aina Yoyote" Hawatapata Nafasi Za Kujiunga Kidato Cha Tano 2015/2016????
 
Ndio alitangaza na pia nakala ya tangazo hilo lipo kwenye tovuti ya moevt
 
Akiwa Akizungumzia Uhaba Wa Shule Za Advance Mh.Rais Jk Alixema.....
" Tumesha wachagua Wanafunzi Wa Kidato Cha Tano 2015,kutokana Na Huaba Wa Shule Za Advance,tumewachagua Wanafunzi Asilimia 75% Tu,kati Ya Wale Waliofauru Na Tumewaacha Wanafunzi Asilimia 25%"

Kauli Iyo Inaonyesha Kua Mchakato Wa Kuleta Post Zenu Unakaribia.
 
utapataje credit babu wamewasaidia hamsaidiki hapo jua shule sio fani yako, kimbia fasta toka nduki
 
Akiwa Akizungumzia Uhaba Wa Shule Za Advance Mh.Rais Jk Alixema.....
" Tumesha wachagua Wanafunzi Wa Kidato Cha Tano 2015,kutokana Na Huaba Wa Shule Za Advance,tumewachagua Wanafunzi Asilimia 75% Tu,kati Ya Wale Waliofauru Na Tumewaacha Wanafunzi Asilimia 25%"

Kauli Iyo Inaonyesha Kua Mchakato Wa Kuleta Post Zenu Unakaribia.

sawa sawa mr apo nimekupata ata mimi
 
Jaman Wana Jf
Kwa Aliyebahatika Kusikiliza Hotuba Ya Waziri Wa Elim Siku Ya Maadhimisho Ya Elim Mwaka Huu Yaliyofanyika Dodoma! Je? Nikweli Kwamba Wazili Alitangaza Kwa Wahitimu Wa Kidato Cha Nne(2014) Waliopata "credit Ya Aina Yoyote" Hawatapata Nafasi Za Kujiunga Kidato Cha Tano 2015/2016????

Kama wakizingua fanya kuzama private mr! amna jinsi cha msingi comb zibalance
 
ndg ebu rudi kwenye waraka wa elimu wa mwaka 2015 kuhusu udahili wa wanafunzi wa kidato cha tano
 
Back
Top Bottom