Aliyesimamia mkutano wa CCM leo ni yule mvunjifu wa katiba ya chama cha CCM msitegemee majibu ya hapana

Aliyesimamia mkutano wa CCM leo ni yule mvunjifu wa katiba ya chama cha CCM msitegemee majibu ya hapana

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Aliyesimamia mkutano wa CCM leo ni yule mvunjifu wa katiba ya chama cha CCM msitegemee majibu ya hapana kwenye kubadilisha katiba.

Kama unakumbuka vizuri alivunja katiba ya chama kwenye kupitishwa kugombea uraisi, hakuomba radhi wala hakukanusha kuivunja, kwasasa CCM ni kama uchaguzi upo tu kwa wabunge na udiwani sio urais hata fomu hajachukua anabaka katiba.

Demokrasia ikwapi, wajumbe kutochukua hatua ni kwamba wanaenda kuuza chama kwa mtu mmoja.
 
Huyu mzee atakuja kufa mdomo wazi anaichezea sana hii nchi
 
Back
Top Bottom