Aliyesoma CBG anaweza kusomea Pharmacy, Medicine au Laboratory Science?

risasi son

Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
22
Reaction score
3
Jamani naomba mnisaidie kuna mdogo wangu anasoma CBG alikua ananiuliza hivi kunauwezekano wakusoma moja kati ya kozi hizo na vipi kuhusu salary?

Naomba mnisadie wanajamvi.
 
Pharmacy na MD kwa CBG siku hizi imeshakuwa shida. Ukijaribu kupitia Guide Book ya TCU utagundua vyuo vingi kasoro St. John vinahitaji ama Physics/Mathematics. Sina uhakika sana kama hii mathematics inaweza kuwa BAM.

All In all, kama unataka MD au Pharmacy kwa UHAKIKA go for PCB or CBM.
 

umemjibu exactly yani mwaka huu wenye div1&2 za cbg wemetemwa pharmacy,md,medical lab, yan ni shiiiidddaaa
 
Napia kusoma maswali magumu yakwenye Roja, uckate tamaa ukshndwa 2pia humu utasaidiwa. .

sikulaumu sana kwa kuwa ndo fikra zako zilipoishia "samahan kama nimekukwaza" ....hiv kunarelation yoyote kati ya hicho nilichouliza na ulichokijibu? kwan lazima kilapost uchangie even though you are not familiar with an existing topic?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…