risasi son
Member
- Jun 1, 2014
- 22
- 3
Jamani naomba mnisaidie kuna mdogo wangu anasoma CBG alikua ananiuliza hivi kunauwezekano wakusoma moja kati ya kozi hizo na vipi kuhusu salary?
Naomba mnisadie wanajamvi.
Naomba mnisadie wanajamvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pharmacy na MD kwa CBG siku hizi imeshakuwa shida.Ukijaribu kupitia Guide Book ya TCU utagundua vyuo vingi kasoro St. John vinahitaji ama Physics/Mathematics.Sina uhakika sana kama hii mathematics inaweza kuwa BAM.
All In all,kama unataka MD au Pharmacy kwa UHAKIKA go for PCB or CBM
Napia kusoma maswali magumu yakwenye Roja, uckate tamaa ukshndwa 2pia humu utasaidiwa. .