MATONYA new
Senior Member
- Jan 21, 2021
- 140
- 331
Habari za leo wanajukwaa,
Naomba msaada kwa wale mliosoma au mnasoma Bachelor ya Accountancy chuo cha CBE. Naombeni kufahamu, kwa mtu ambae amesoma HGE miaka ya 2007, akiwa na matokeo ya HISTORY D, GEOGRAPHY D, ECONOMICS F NA BAM F, je anaweza toboa akianza kusoma course ya Accountancy kwa level ya bachelor?
Pia huyu mtu ni mwalimu wa masomo ya Geography na History
Msaada kwenu wakuu, na kama kuna mtu yupo karibu na Dodoma naomba aingie PM ili aweze kutoa msaada wa face to face kwa Dodoma