Anaweza kuchaguliwa kama alipata angalau D ya hesabu kidato cha nne.
Ila kwa matokeo yake haya Economics F na BAM F ataenda kuteseka mno,maana kuna Advanced Economics ni ngumu balaa,MANAGERIAL ECONOMICS hatariiii...Business Mathematics and Statics ni zaidi ya Advanced Mathematics kuna Calculus na Integration,Correlation and Regretion..hiyo Logarithm kuna wajinga wanasemaga haina Application kwenye maisha ya kila siku basi huko unakutana na APPLICATION OF LOGARITHMS IN BUSINESS AND REAL LIFE SITUATION....APPLICATION OF MATRIX IN BUSINESS hiyo ni 4 by 4 binamu..sasa achana na hii kuna course fulani ya kikuda sana inaitwa QUANTITAVE METHODS(QM) ni hatariiiii...madude kama COST ACCOUNTING,FINANCIAL MANAGEMENT,ADVANCED FINANCIAL ACCOUNTING,AUDITING n.k
Kwa kifupi huyu inaonekana kabisa ana allergy na hesabu asisogee huko ataenda kufeli tu...maana ni hesabu mwanzo mwisho,course chache sana ndo za maelezo tu like COMMUNICATION SKILLS,DEVELOPMENT STUDIES,RISK MANAGEMENT n.k nyingine ni hesabu mwanzo mwisho
Kuna hesabu za kuzima Scientific Calculator fake[emoji3][emoji3]