MATONYA new
Senior Member
- Jan 21, 2021
- 140
- 331
Umeelewa vizuri D anazoziengelea????Duuh! History una D na Geography una D ilikuwaje Hadi ukawa Mwalimu? Kama wewe Mwalimu ulifeli History na Geography utawezaje kumfundisha Mwanafunzi Hadi aelewe na afaulu?
Uliwezaje kwenda Shule Cha Ualimu iliwa umefeli namna hiyo(DD)?
Ule Uhakiki wa watumishi kipindi like ilibidi uwafikie pia watumishi Kama wewe.
Mimi Kama mdau wa Elimu nimehuzunika Sana kua na Mwalimu aliyefeli Kama wewe. Samahani Kama ninekukwaza
Umeelewa vizuri D anazoziengelea????
Au umemsimanga mwenzio bila hata kuelewa.
DDF ni sawa na DIV. 3.13.
Hata kwa vigezo vya leo University anaenda bila kikwazo chochote. Maana kigezo kikuu ni kuwa na D mbili.
Wewe una matatizo.Gredi kama hizo hata kama zinakupeleka hadi chuo kikuu bado zinaonesha huyo mtu ni dhaifu sana! Kwa nini ujivune kwa kupata DDF?
Inawezekana.Habari za leo wanajukwaa,
Naomba msaada kwa wale mliosoma au mnasoma Bachelor ya Accountancy chuo cha CBE. Naombeni kufahamu, kwa mtu ambae amesoma HGE miaka ya 2007, akiwa na matokeo ya HISTORY D, GEOGRAPHY D, ECONOMICS F NA BAM F, je anaweza toboa akianza kusoma course ya Accountancy kwa level ya bachelor?
Pia huyu mtu ni mwalimu wa masomo ya Geography na History
Msaada kwenu wakuu, na kama kuna mtu yupo karibu na Dodoma naomba aingie PM ili aweze kutoa msaada wa face to face kwa Dodoma
Suala la kutoboa huwezi pata jibu hapa jamii forums, Hilo ni suala linamhusu mhusika mwenyewe. Ina maana huyo MTU form six level hawezi hata kusoma guide book akaelewa? Chuo ataweza kusoma na kuelewa kweli au ndo kila siku kupata namba za viatu?Habari za leo wanajukwaa,
Naomba msaada kwa wale mliosoma au mnasoma Bachelor ya Accountancy chuo cha CBE. Naombeni kufahamu, kwa mtu ambae amesoma HGE miaka ya 2007, akiwa na matokeo ya HISTORY D, GEOGRAPHY D, ECONOMICS F NA BAM F, je anaweza toboa akianza kusoma course ya Accountancy kwa level ya bachelor?
Pia huyu mtu ni mwalimu wa masomo ya Geography na History
Msaada kwenu wakuu, na kama kuna mtu yupo karibu na Dodoma naomba aingie PM ili aweze kutoa msaada wa face to face kwa Dodoma
Wewe ni mshamba, hutakiwi kujibiwaDuuh! History una D na Geography una D ilikuwaje Hadi ukawa Mwalimu? Kama wewe Mwalimu ulifeli History na Geography utawezaje kumfundisha Mwanafunzi Hadi aelewe na afaulu?
Uliwezaje kwenda Shule Cha Ualimu iliwa umefeli namna hiyo(DD)?
Ule Uhakiki wa watumishi kipindi like ilibidi uwafikie pia watumishi Kama wewe.
Mimi Kama mdau wa Elimu nimehuzunika Sana kua na Mwalimu aliyefeli Kama wewe. Samahani Kama ninekukwaza
Pamoja na Ushamba wangu Ila hoja yangu hujaijibu umeishia kupopoma tu. Uliwezaje kwenda Chuo ikiwa umefeli namna iyo? Unafundisha vipi masomo ambayo week mwenyewe ulifeli?Wewe ni mshamba, hutakiwi kujibiwa
Zamani ilikuwa watu walio pata dv 4 wanaenda ualimu kwa sasa sifahamu, wewe unashangaa muhuni kutoboa na principal mbili (dv3) alafu akaenda ualimu. Brother usituzingue na 1 yako sawaDuuh! History una D na Geography una D ilikuwaje Hadi ukawa Mwalimu? Kama wewe Mwalimu ulifeli History na Geography utawezaje kumfundisha Mwanafunzi Hadi aelewe na afaulu?
Uliwezaje kwenda Shule Cha Ualimu iliwa umefeli namna hiyo(DD)?
Ule Uhakiki wa watumishi kipindi like ilibidi uwafikie pia watumishi Kama wewe.
Mimi Kama mdau wa Elimu nimehuzunika Sana kua na Mwalimu aliyefeli Kama wewe. Samahani Kama ninekukwaza
Huyu jamaa hatakiwi kujibiwaZamani ilikuwa watu walio pata dv 4 wanaenda ualimu kwa sasa sifahamu, wewe unashangaa muhuni kutoboa na principal mbili (dv3) alafu akaenda ualimu. Brother usituzingue na 1 yako sawa
Nashangaa anajifanya kama mgeni na elimu yetu, hao walio pata dv 4 ndio walio tufundisha sisi na hadi tukafaulu haitoshi kuwa ni kiashirio hata mtoa mada yupo vizur regardless ufaulu wakeHuyu jamaa hatakiwi kujibiwa
Entry qualifications degree yoyote ile uwe na pass 2 hata kwenye masomo ya science ukiwa na D unaingia, sema cut point kwenye ufaulu ndo zinatofautiana
Entry requirements za universityAnaweza kama alipata angalau D ya Hesabu Form IV
Anaweza kuchaguliwa kama alipata angalau D ya hesabu kidato cha nne.Habari za leo wanajukwaa,
Naomba msaada kwa wale mliosoma au mnasoma Bachelor ya Accountancy chuo cha CBE. Naombeni kufahamu, kwa mtu ambae amesoma HGE miaka ya 2007, akiwa na matokeo ya HISTORY D, GEOGRAPHY D, ECONOMICS F NA BAM F, je anaweza toboa akianza kusoma course ya Accountancy kwa level ya bachelor?
Pia huyu mtu ni mwalimu wa masomo ya Geography na History
Msaada kwenu wakuu, na kama kuna mtu yupo karibu na Dodoma naomba aingie PM ili aweze kutoa msaada wa face to face kwa Dodoma
Oya acha kumtisha teacher tumesoma na watu wametoka PCB NA PCM huko na wametoboa, we fanya application mda ukifika uicheze ngoma hiyo ya miaka mitatuAnaweza kuchaguliwa kama alipata angalau D ya hesabu kidato cha nne.
Ila kwa matokeo yake haya Economics F na BAM F ataenda kuteseka mno,maana kuna Advanced Economics ni ngumu balaa,MANAGERIAL ECONOMICS hatariiii...Business Mathematics and Statics ni zaidi ya Advanced Mathematics kuna Calculus na Integration,Correlation and Regretion..hiyo Logarithm kuna wajinga wanasemaga haina Application kwenye maisha ya kila siku basi huko unakutana na APPLICATION OF LOGARITHMS IN BUSINESS AND REAL LIFE SITUATION....APPLICATION OF MATRIX IN BUSINESS hiyo ni 4 by 4 binamu..sasa achana na hii kuna course fulani ya kikuda sana inaitwa QUANTITAVE METHODS(QM) ni hatariiiii...madude kama COST ACCOUNTING,FINANCIAL MANAGEMENT,ADVANCED FINANCIAL ACCOUNTING,AUDITING n.k
Kwa kifupi huyu inaonekana kabisa ana allergy na hesabu asisogee huko ataenda kufeli tu...maana ni hesabu mwanzo mwisho,course chache sana ndo za maelezo tu like COMMUNICATION SKILLS,DEVELOPMENT STUDIES,RISK MANAGEMENT n.k nyingine ni hesabu mwanzo mwisho
Kuna hesabu za kuzima Scientific Calculator fake[emoji3][emoji3]
Simtishi namwambia uhalisia,maana nimesoma course hiyo..Mimi mwenyewe nilitokea PCB na nilifaulu kuliko hata watu wa ECA na EGM nina first Class safi...ila usilinganishe watu wa sayansi mathalani PCB/PCM na watu wengine..hawa watu wanaweza kusoma course yoyote kwa level ya chuo na wakafaulu vizuri kuliko hata wenye background husika..hata ukisoma Prospectus za vyuo vingi wanaruhusiwa kusoma karibia kila course..unaijua PCB/PCM au unazikisikia tu?mkuu haya masomo ni magumu mno...na nafikiri ndo masomo pekee ambayo mpaka leo hayana TEXTBOOKS hapa nchini yana REFERENCE BOOKS...Oya acha kumtisha teacher tumesoma na watu wametoka PCB NA PCM huko na wametoboa, we fanya application mda ukifika uicheze ngoma hiyo ya miaka mitatu
Ila pia inategemea ulisoma chuo gani,maana vyuo vyenu vya uchochoroni huko binamu elimu imekuwa ya kupeana tu😀😀Oya acha kumtisha teacher tumesoma na watu wametoka PCB NA PCM huko na wametoboa, we fanya application mda ukifika uicheze ngoma hiyo ya miaka mitatu