Aliyesomea 'Procurement' anawezaje kujiajiri?

D.I.G

Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
61
Reaction score
2
Wadau, habari zenu? Naomba kujua, mtu ambaye amesomea procurement anawezaje kujiajiri? Je kile anachosoma kinaweza kikamsaidia akaweza kujiajiri kama vile mtu anayesomea ufundi? Kwa mwenye ufahamu naomba anisaidie kwa hilo.
 
Iko very limited kwenye kuiajiri mkuu. Labda uwe mtu wa sound nyingi. Yan ufanye consultation na uwe una wa draftia watu/coy tender na jinsi ya ku bid. Imekaa ki mjin mjin sana kama hutapata employment itabid ndo uwe unapiga dili hizo na kuzipata ndo uwe mtu wa mizunguko na kujimix na watu.
 
So kozi hii imekaa kuajiliwa sana cio?
 
Back
Top Bottom