Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuwa spika ni lazima udhaminiwe na chama cha siasa?Ni kweli Spika si lazima awe mbunge, ila kama anayegombea nafasi hiyo si mbunge kuna utaratibu wa kufuata, chama chake kinapeleka jina lake NEC ili wajiridhishe kama ana sifa za kuwa mbunge ndio NEC waliidhinishe jina lake kugombea uspika.
Kwa maelezo hayo hapo juu, huyu mtu hakutimiza sharti hilo kama ilivyodaiwa na bwana Kigaigai mbali na kuwa maombi yake yalifika nje ya muda ulioruhisiwa.
Kigezo cha kuwa qualified kuwa member of parliament ni kipi zaidi ya kujua kusoma na kuandika?
Wamempendelea Ndugai, wanaogopa ushindani kama kawaida yao.
Ndio mkuu, hatuna mgombea binafsi so far.Kwani kuwa spika ni lazima udhaminiwe na chama cha siasa?
PHA PHA PHAAsante kwa taarifa. Ila sidhani kama kuna cha kusisimua bunge tena ktk miaka hii 5!
Nyongeza, uwe mwanachama wa chama cha siasa.Sifa ni zaid ya hizo
1) Uwe na umri wa kuanzia miaka 21
2) Uwe ni Raia wa JMT
3) uwe hujawahi kukutwa na hatia ya Jinai si chini ya miaka 5
4) uwe na akili timamu
5) Ujue kusoma na kuandika
Umri,kutokuwa na kosa la ukwepaji kodi katika kipindi cha miaka 5 mfululizoKigezo cha kuwa qualified kuwa member of parliament ni kipi zaidi ya kujua kusoma na kuandika?
Wamempendelea Ndugai, wanaogopa ushindani kama kawaida yao.