Aliyetaka kushindana na Ndugai aenguliwa, yeye si mbunge

Hivi ni utaratibu gani Al-Shabaab huwa wanautumia kuingia kwenye majengo na kujilipua?
 
Kwani kuwa spika ni lazima udhaminiwe na chama cha siasa?
 
Sifa ni zaid ya hizo
1) Uwe na umri wa kuanzia miaka 21
2) Uwe ni Raia wa JMT
3) uwe hujawahi kukutwa na hatia ya Jinai si chini ya miaka 5
4) uwe na akili timamu
5) Ujue kusoma na kuandika
Kigezo cha kuwa qualified kuwa member of parliament ni kipi zaidi ya kujua kusoma na kuandika?

Wamempendelea Ndugai, wanaogopa ushindani kama kawaida yao.
 
Sifa ni zaid ya hizo
1) Uwe na umri wa kuanzia miaka 21
2) Uwe ni Raia wa JMT
3) uwe hujawahi kukutwa na hatia ya Jinai si chini ya miaka 5
4) uwe na akili timamu
5) Ujue kusoma na kuandika
Nyongeza, uwe mwanachama wa chama cha siasa.
 
Kigezo cha kuwa qualified kuwa member of parliament ni kipi zaidi ya kujua kusoma na kuandika?

Wamempendelea Ndugai, wanaogopa ushindani kama kawaida yao.
Umri,kutokuwa na kosa la ukwepaji kodi katika kipindi cha miaka 5 mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…