Aliyetayari kufanya kazi kwa muda wake wa ziada

Aliyetayari kufanya kazi kwa muda wake wa ziada

Joined
Jun 28, 2012
Posts
30
Reaction score
2
Natafuta mtu aliyetayari kufanya kazi kwa kutumia muda wake wa ziada pasipo kuingilia muda wake wa kazi zake za kawaida. Pia atajipatia kipato cha ziada nje ya mshahara wake! Iyo kazi ni network marketing kupitia kampuni la forever living products. Kwa ambae atakuwa na interesta na kazi plz don't hesitate to let me know. Thank you.
 
Mkuu funguka watu waelewe aina ya kazi
 
Natafuta mtu aliyetayari kufanya kazi kwa kutumia muda wake wa ziada pasipo kuingilia muda wake wa kazi zake za kawaida. Pia atajipatia kipato cha ziada nje ya mshahara wake! Aliyetayari tuwasiliane kwa email mirandamichael656@yahoo.com.

Taja aina ya kazi yenyewe!
 
Hao ni watu wa Forever Living Product, nina hakika hatasema sababu anajua tutamshambulia
 
KWA WASIOFAHAMU NI NI KAZI ZA KUUZA BIDHAA AIDHA ZA MADAWA AU SABUNI NAWAJUA NILISHAENDA NIKAKUTA HILO ILA TU MASHARTI NA VIGEZO VIKANISHINDA MAANA INATAKIWA UNUNUE MZIGO MKUBWA NDIO UPATE CHEO NA KUALIKA WATU NA NDIO ANACHOFANYA HUYU, UKIFIKISHA WATANO KAMA SIKOSEI NDIO UNAPATA NYOTA, KWA MIE JOBLESS SIKUWA NA FEDHA ZA KUNUNUA HIZO BIDHAA SO NIKAENDA KIMYA KIMYA:A S-cry::A S-cry:
 
Weka wazi hiyo biashara, inatia shaka kwa wewe kutotaka kutaja hiyo biashara. Hapo miranda uliingia choo cha kiume, kwa mazingira yetu ya Tanzania ni ngumu sana kuifanya biashara ya Network Marketing. In short ni Pasua kichwa kutokana na ughali wa hizo product zenu, eti kuna dada mmoja alikuwa ananishawishi ninunue chupa ya nutrients kwa TZS 80,000 ......kitu ambacho ni kigumu kwa mtanzania mimi kuchoma hiyo amount kwa vitu ambavyo nia anasa.
Hawa ndo mafreemason[/QU> nawe bhana,
 
Hii kazi lazima huvae tai fupi!
 
Watanzania watu wa ajabu kweli biashara za GNLD na forever is it possible kwa lila mtu kupata utajiri kama wanavyoonyesha kwenye mikutano yao. Msiige watu kama akina chilato huyu bwana ameishi marekani then akaja bongo akaanza so aliye wahi mwache aendelee. Nawashangaa sana watu wanaanzan kuulizia bei za magari na falt za kupanga kule osterby na masaki. mnakumbuka mambo ya DECCI ama mkweli sikio la kufa halisiikii dawa . Badala ya kufanya project za uhakika baada ya kazi mnaanza kutembea kwenye mabaa kuuza dawa. think twice b4 u act
 
heheheee!! Sina la zaidi ya kucheka tu!! Vituko juu ya vituko!! Jua lote hili ukanishkishe sabuni na dawa ya meno mitaani
 
Utatongozwa kwenye email kama hutaki kusema kazi gani unaitia watu. Hahahahah hiyo ni forever livingi kweli. Sasa jamani mimi ni member, anayejisikia kunijoin tafadhali anakaribishwa.
 
ahahaha hali ngumu kweli yaani unataka mtu wa kufanya kazi ambayo haina
descriptions hii ni hatari
 
Back
Top Bottom