Aliyetayari kutulia kuitwa mume wa mtu aje hapa

Kama kunaendeka nijue.? Kama hakuendeki nijue.? Wapiiii eeh...Dar mpaka Moro...haaah haahh, vijana wa JF tunapata taabu sanaa.
 
Mambo zenu?
Mimi ninahitaji kutulia sana.
nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia
unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi unakuhusu but kama hujatulia usije .
mimi napendelea mwanaume awe handsome hata akivaa nguo anapendeza.
hapa ni single tu nawatafuta.
awe mrefu wa wastani sio mfupi awe muelewa.
msomi kuanzia degree nakuendelea ajipendee kabisaa sio awe mchafu mchafu.
apende maendeleo walevi siwataki,malaya no,wambeya hapana.
bongo movie wale yaani wao nikuact maisha no.
nahitaji uwe mkweli.
uwe unawaza vitu vyakujenga sio kulalana tu.
miaka 33-36.
KAMA UPO SERIOUS NJOO UNIPM KAMA HAUPO SERIOUS USIJEE.
Jina lako tu linamaanisha
 
Njoo pm basi
 
Back
Top Bottom