Aliyetengeneza hii simjui.....

Hii trend ilikujaga ikasepa..

Wenye majina yanayoandikika kwa kiswahili na kingereza na sie tukawekwamo
 
Umwana ...Zambia...Malawi na baadhi ya makabila Tz wanatumia Hilo neno...
So inawezekana hata hii meme imeanzia Zambia huko
 
Kwa kilugha Cha kwetu " omwana" means baby/ mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…