J Joshua justine JF-Expert Member Joined Sep 1, 2021 Posts 792 Reaction score 1,015 Nov 12, 2022 #1 Aliyedesign haka kapicha aache kabisa kutuletea mambo yake, Sent using Jamii Forums mobile app
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Nov 12, 2022 #2 Hii trend ilikujaga ikasepa.. Wenye majina yanayoandikika kwa kiswahili na kingereza na sie tukawekwamo
Hii trend ilikujaga ikasepa.. Wenye majina yanayoandikika kwa kiswahili na kingereza na sie tukawekwamo
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Nov 13, 2022 #3 Umwana ...Zambia...Malawi na baadhi ya makabila Tz wanatumia Hilo neno... So inawezekana hata hii meme imeanzia Zambia huko
Umwana ...Zambia...Malawi na baadhi ya makabila Tz wanatumia Hilo neno... So inawezekana hata hii meme imeanzia Zambia huko
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Nov 13, 2022 #4 Kwa kilugha Cha kwetu " omwana" means baby/ mtoto
J Joshua justine JF-Expert Member Joined Sep 1, 2021 Posts 792 Reaction score 1,015 Nov 18, 2022 Thread starter #5 Of course translation tu , ila jamaa anamaana kuna watoto hawafanani kuitwa umwana ama ? Sent using Jamii Forums mobile app
Of course translation tu , ila jamaa anamaana kuna watoto hawafanani kuitwa umwana ama ? Sent using Jamii Forums mobile app