Aliyeteuliwa kuwa Waziri wa michezo Dkt. Damas Ndumbaro aliwahi kufungiwa miaka 7 kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi na TFF kwa kukiuka kanuni

Aliyeteuliwa kuwa Waziri wa michezo Dkt. Damas Ndumbaro aliwahi kufungiwa miaka 7 kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi na TFF kwa kukiuka kanuni

Ndumbaro angeachana na mambo ya mashabiki wa Simba na Yanga. Halafu watu wana changamoto nyingi sana asiingilie kwenye mambo yanayowapa furaha kama hawavunji sheria. Simba na Yanga zina mchango mkubwa kwenye kufanya nchi itawalike. Tukiingilia mambo yao ndo mwanzo wa watu kuamua kuingia kwenye ishu za siasa na CCM kupata wakati mgumu kuongoza. Rais Hichilema wa Zambia alishinda kwasababu ya vijana kuchoshwa na uonevu wa serikali iliyokuwepo.
 
Back
Top Bottom