Aliyetoa Tsh. Milioni 30 na Ng'ombe 30 kama mahari hana tofauti na wewe uliyetoa mahari ya Tsh. Milioni 1. Wote akili zenu zinafanana

Eeeeeh makubwa haya 😜😜😜
 
Kutoa mahari ni Kwa ajili ya mwali tu

Hata Mwali hatolewi MAHARI.
Mahari ni kwaajili ya Watumwa.

Ukiwa na Binti yako, amekua sasa unataka kumpeleka kwenye ukoo mwingine akatumikishwe ndio unamuuza na ukoo huo unamnunua. Sasa kusema hivyo inaweza kuwa Lugha isiyo na Staha. Ndio wakaleta Istilahi Mahari.

Ukishamnunua mwanamke anakuwa ni Mali yako kama vile gari na nyumba yako.

Zamani ukimnunua mwanamke hata umfanyie nini hawezi kurudi kwao kwa Sababu alishauzwa(tolewa Mahari) vinginevyo gharama za Mahari zirudishwe
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ

Kwa wewe unavyofikiri kwa nini utolewe Mahari?
Kwa nini Wazazi wako wapange kiwango Fulani cha Pesa.
Waulize, kwa nini Mahari waliyoipanga IPO hivyo ilivyo. Mfano kama wamepanga Milioni tatu au tano waambie kwa nini sio Milioni 50 au 100 au kwa nini sio efu 10 tuu. Sikiliza Majibu Yao.
 
Nimeambiwa nikwambie utafute hela ila Mahari ni lazima 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…