Aliyetoa Tsh. Milioni 30 na Ng'ombe 30 kama mahari hana tofauti na wewe uliyetoa mahari ya Tsh. Milioni 1. Wote akili zenu zinafanana

Wala wanawake wengi hawabadili majina yao tena kama ilivyokua hapo awali.Je wajua kua kabila la wakikuyu hapa Kenya watoto hupewa majina ya wakwe?,kwa mfano mtoto mwanamme hupewa jina la mamake mke,tafakari hayo.
Kuna jamii pia wanaume ndo wanatolewa mahari na watoto wanabeba jina upande wa mama. Nadhani baadhi ya makabila ya India wana huu utaratibu. Ni suala la utaratibu mliojiwekea tu. Mkiamua muokotane kama maembe mzalishane ni sawa pia.
 
Swali je aliyetoa mahali kubwa kapata zawadi kubwa na pesa nyingi mimi naona kavuna mapesa ya kutosha kuliko pesa alizo wekeza

But I hate this phrase, small minds discuss about people , great minds discuss ideas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…