Aliyetufikisha Uchumi wa Kati ni Kikwete na siyo Magufuli, acheni kudanganya!

Afadhali ukawafundishe WB
Hao wanatudanganya ukweli wanaujua, World Bank wanastrategy zao, hawafanyi mambo bila kujua faida ya baadaye,kuna vingi tunahitaji kurekebisha kama nchi.

Msikilize msema kweli huyo

MAK Mringo (@SnrDirector) Tweeted:
Amkeniiii. Kuna huyu anatuchafua maji ya kisimaa. Maneno haya yana ukweli kiasi gani? Uuuuwiii, chukulia kama ni kweli. Sijui nizime simu? https://t.co/nHz7TRNnuI ( )
 
Haya tumekusikia mkuu!!
 
Jpm aliupiga mwingi sana ameshatangulia mbele za haki lakini mpaka leo wapinzani wake wanamuogopa.
 
Itapendeza kama utajibu hoja...JK alituacha na pacapita income kiasi gani na Magufuli ametuacha na pacapita income ngapi? Hoja iko hapo,hayo mengine ni porojo tu zisizokuwa na ushahidi wa takwimu. Namba huwa hazidanganyi.
 
Wapuuzi nyieee..mlikuwa mnamnanga jk wakat wake kuwa n dhaifuu..leo mnarudia matapishi yenu..tz kuna wananchi wa ajab kuwah kutokea..ndio mana jk alisema kuongoza watz inahitaj unafiki mwingi..mana watz wengi pia ni wanafik wa kutupwaaa
Wewe ni product ya Division 5. Unadandia gari yenye mwendo kwa mbele. Unaandika vitu bila ya kufanya tafiti. Udhaifu uliokuwa unasemwa ni wa kusimamia mambo ya msingi ikiwa ni pamoja rasilimali. Hakuwa dhaifu kwenye mahusiano ya kimtaifa na uvutiaji wa FDI. Mkuu uwe unaazima ata akili za jirani yako ukitaka kuja JF
 
Hao nyumbu hawatakuelewa? hawataki kiongozi anayesem ukweli hata kama ni mchungu. Kwao kiongozi aongee maneno matamu hata kama matokeo yake kwa baadae ni ujinga.
 
Mnaotetea legacy ya mfu mpogo
 
Na wewe usitudanganye, aliyetufikisha ni Governor Richard Turnbull labda tu wewe humjui.
 
Legacy imekufa kifo cha mende
 
21 November 2021

TANZAM highway journey from Dar es Salaam to Iringa

KITONGA IRINGA: The most DANGEROUS road section in TANZANIA


Tanzania is a beautiful Country to travel. It has as amazing scenery as you travel by road. In this video, i have traveled by bus from Dar es Salaam, the biggest and commercial city of Tanzania to Iringa in an attempt to portray the positive image of our country

Source : Malango Travels
 
kweli chato mlimpenda sana.......mwoga yule aliua!! alitisha wapinzani...jizi la kura lkn kikwete alipendwa mnooo!!.......jiwe atakumbukwa kwa roho mbaya ya chuma! uchoyo, umimi wa kupendelea chato tuuuu!!...km msura wake mweusiii!

hata hakukumbuka kutubu! sasa fikiria mwenyewe yuko wapi! huko ahera???? hata walio mfuata wanahangaika tu humu kina makonda
 
Pumzika kwa amani JPM. Wacha wafitini waendelee kuungua mioyoni. Yani watu wasipomtaja JPM hawaoni raha, duh!
 
Uchumi huo wa Kati usioonekana bora hata wasingetufikisha Leo Mbaya afadhali ya Jana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…