Sozo_
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 776
- 1,132
Kitu kinatunyima fursa ya kufika mahali ni kupenda umbea hasa linapozushwa jambo la mahusiano.
Mjadala wa Katibu na Masanja umetuhamisha na mitandao imetawala taarifa ambayo haijulikani ni kweli au ni kitu cha kutengeneza.
Watanzania warahisi sana kuwahamisha kwenye Reli hasa ukileta mambo ya ngono ngono.
Tunahitaji ukombozi wa fikra kabla ya kudai Katiba mpya, tunakuza yasiyopaswa kukuzwa. Kwa kifupi ni warahisi kusahaulishwa na upuuzi!