Aliyetuloga Watanzania ni nani?

Aliyetuloga Watanzania ni nani?

Tumekata tamaa ya maisha bora tujifariji na udaku wa ngono
 
Waliopata neema ya ukombozi wa fikra zao watusaidie
Hao unaosema 'wamepata neema ya ukombozi wa kifkra watusaidie'. Tukiwa weka kwenye 'chujio la pili' nao wanahitaji msaada mkubwa. Ukombozi wa kifkra huwa ni ' infinity process'. And very volatile. Kwani huwa unacheza na kiini tete(Stem cell) Na mara nyingi ukicheza nacho unaweza ku- create dinosaur likakumaliza kwenye mabara.
 
Nyerere alikosea Sana kuingiza siasa kwenye elimu
Sasa mbona hutaki kurekebisha alipokosea yeye??
Badala yake na wewe unaendeleza makosa wakati ushagundua kosa
Huo sasa ni mpumbavu

Maana mjinga akigundua kosa anarekebisha

Upumbavu unazaliwa nao huwez kuutoa
 
Kitu kinatunyima fursa ya kufika mahali ni kupenda umbea hasa linapozushwa jambo la mahusiano.

Mjadala wa Katibu na Masanja umetuhamisha na mitandao imetawala taarifa ambayo haijulikani ni kweli au ni kitu cha kutengeneza.

Watanzania warahisi sana kuwahamisha kwenye Reli hasa ukileta mambo ya ngono ngono.

Tunahitaji ukombozi wa fikra kabla ya kudai Katiba mpya, tunakuza yasiyopaswa kukuzwa. Kwa kifupi ni warahisi kusahaulishwa na upuuzi!
Mwenge!
 
Kubadili mfumo ni suala la Jamii na sio mtu binafsi
 
Kitu kinatunyima fursa ya kufika mahali ni kupenda umbea hasa linapozushwa jambo la mahusiano.

Mjadala wa Katibu na Masanja umetuhamisha na mitandao imetawala taarifa ambayo haijulikani ni kweli au ni kitu cha kutengeneza.

Watanzania warahisi sana kuwahamisha kwenye Reli hasa ukileta mambo ya ngono ngono.

Tunahitaji ukombozi wa fikra kabla ya kudai Katiba mpya, tunakuza yasiyopaswa kukuzwa. Kwa kifupi ni warahisi kusahaulishwa na upuuzi!
Bilashaka ww Ni house girl wake masanja
 
Hao unaosema 'wamepata neema ya ukombozi wa kifkra watusaidie'. Tukiwa weka kwenye 'chujio la pili' nao wanahitaji msaada mkubwa. Ukombozi wa kifkra huwa ni ' infinity process'. And very volatile. Kwani huwa unacheza na kiini tete(Stem cell) Na mara nyingi ukicheza nacho unaweza ku- create dinosaur likakumaliza kwenye mabara.
Nini kifanyike Sasa?
 
Back
Top Bottom