Kitu kinatunyima fursa ya kufika mahali ni kupenda umbea hasa linapozushwa jambo la mahusiano.
Mjadala wa Katibu na Masanja umetuhamisha na mitandao imetawala taarifa ambayo haijulikani ni kweli au ni kitu cha kutengeneza.
Watanzania warahisi sana kuwahamisha kwenye Reli hasa ukileta mambo ya ngono ngono.
Tunahitaji ukombozi wa fikra kabla ya kudai Katiba mpya, tunakuza yasiyopaswa kukuzwa. Kwa kifupi ni warahisi kusahaulishwa na upuuzi!
Faraja ya maskini ni umbea na tajiri kufilisikaKitu kinatunyima fursa ya kufika mahali ni kupenda umbea hasa linapozushwa jambo la mahusiano.
Mjadala wa Katibu na Masanja umetuhamisha na mitandao imetawala taarifa ambayo haijulikani ni kweli au ni kitu cha kutengeneza.
Watanzania warahisi sana kuwahamisha kwenye Reli hasa ukileta mambo ya ngono ngono.
Tunahitaji ukombozi wa fikra kabla ya kudai Katiba mpya, tunakuza yasiyopaswa kukuzwa. Kwa kifupi ni warahisi kusahaulishwa na upuuzi!
1. Mpira (hasa hasa Yanga na Simba)Kitu kinatunyima fursa ya kufika mahali ni kupenda umbea hasa linapozushwa jambo la mahusiano.
Mjadala wa Katibu na Masanja umetuhamisha na mitandao imetawala taarifa ambayo haijulikani ni kweli au ni kitu cha kutengeneza.
Watanzania warahisi sana kuwahamisha kwenye Reli hasa ukileta mambo ya ngono ngono.
Tunahitaji ukombozi wa fikra kabla ya kudai Katiba mpya, tunakuza yasiyopaswa kukuzwa. Kwa kifupi ni warahisi kusahaulishwa na upuuzi!
Nadhani hili liko zaidi Tanzania. Kenya huwezi kuwa-brain wash namna hii. Tatizo liko kwenye elimu yetu. Kuna wasichana fulani nawafahamu, wamesoma nje ya nchi, ni wadogo kiumri around 20 to 25 years, wana shahada moja tu lakini wakizungumzia jambo lolote wanakuwa na uelewa mkubwa kweli kweli.Faraja ya maskini ni umbea na tajiri kufilisika
CCM inawajua mno watanzania ndiyo maana inafanya itakavyo.Tozo tumesahau kabisaa
1. Mpira (hasa hasa Yanga na Simba)
2. Ngono (pisi kali, makalio makubwa, kula tunda kimahasira)
3. Umbea kuhusu wasanii wetu uchwara na watu wenye umaarufu wa uchwara uchwara.
Nani atuokoe taifa letu?Nadhani hili liko zaidi Tanzania. Kenya huwezi kuwa-brain wash namna hii. Tatizo liko kwenye elimu yetu. Kuna wasichana fulani nawafahamu, wamesoma nje ya nchi, ni wadogo kiumri around 20 to 25 years, wana shahada moja tu lakini wakizungumzia jambo lolote wanakuwa na uelewa mkubwa kweli kweli.