Tetesi: Aliyetumika kumrubuni Patrobas Katambi kuhamia CCM!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Yasemekana kua kazi hii imeanza kufanyika kitambo kidogo, ilisimamanmiwa na Naibu Waziri mmoja kijana kabisa ambaye awali aliwahi kukitumikia CHADEMA katika ngazi ya juu kabisa kwenye taasisi ya BAVICHA.

Inaelezwa kua kiongozi huyo kijana alitumia muda mwingi kumshawishi bwana Kitambi aondoke CHADEMA kwani huko hakuna fursa, kwamba yeye aliondoka Chadema na kuhamia CCM ambako alithaminiwa na kupewa fursa za uongozi kama kugombea ubunge viti maalum na hatimaye kuteuliwa kua naibu waziri. Maneno hayo yaliendelea kumlegeza bwana kitambi na kuona majukumu yake ndani ya BAVICHA ni kama mzigo kwake, huyo mwanadada hakuchoka kumlainisha Katambi ili afanikishe lengo lake la kuendelea kupiga propaganda kua hata yeye aliwahi kuondoka CHADEMA kwa sababu hicho chama sio cha wengi.

Bwana mgodo aliahidiwa kuongea na bwanakubwa ili amwahidi kile ambacho yeye angepeda kupata tena ikiwezakana iwe zaidi kuliko alipokua awali na kupewa nafasi ya kuthaminiwa ndani chama dola. Kijana alikua kama shingo upande lakini baadae mpango wa kuumuunganisha mzee ulifanikiwa na kuahidiwa alichoahidiwa. Na, hatimaye safari ya kuvua gwanda na kuvaa gamba ilifanikiwa.
 
Tunamtakia kila kheri, nilifurahishwa sana wakati anatoa hotuba wakati kuongea na umoja wa vijana, aliwambia "tujiandae kujibu hoja za upinzani kwa hoja na si vinginevyo".
 
Huyu dada si ni yule ambaye ndugu yake wa kike alivishwa pete ya na mwanamke mwenzake?..!!
Isije ikawa huyo mwanadada ndiye aliyemshauri huyo ndugu yake avishwe pete na jike mwenzake!!
Maana kama aliweza kumshawish hivyo katambi, basi siyo ajabu akamshauri nae baadae avishwe pete na dume mwenzake ili mipango yake itiki!!
 
Ajiandae pia kushawishiwa atumike kinyume cha maumbile, ukoo ule una laana sana ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja
 
Back
Top Bottom