Tetesi: Aliyetumika kumrubuni Patrobas Katambi kuhamia CCM!

Yasemekana kua kazi hii imeanza kufanyika kitambo kidogo, ilisimamanmiwa na Naibu Waziri mmoja kijana kabisa ambaye awali aliwahi kukitumikia CHADEMA katika ngazi ya juu kabisa kwenye taasisi ya BAVICHA.

Inaelezwa kua kiongozi huyo kijana alitumia muda mwingi kumshawishi bwana Kitambi aondoke CHADEMA kwani huko hakuna fursa, kwamba yeye aliondoka Chadema na kuhamia CCM ambako alithaminiwa na kupewa fursa za uongozi kama kugombea ubunge viti maalum na hatimaye kuteuliwa kua naibu waziri. Maneno hayo yaliendelea kumlegeza bwana kitambi na kuona majukumu yake ndani ya BAVICHA ni kama mzigo kwake, huyo mwanadada hakuchoka kumlainisha Katambi ili afanikishe lengo lake la kuendelea kupiga propaganda kua hata yeye aliwahi kuondoka CHADEMA kwa sababu hicho chama sio cha wengi.

Bwana mgodo aliahidiwa kuongea na bwanakubwa ili amwahidi kile ambacho yeye angepeda kupata tena ikiwezakana iwe zaidi kuliko alipokua awali na kupewa nafasi ya kuthaminiwa ndani chama dola. Kijana alikua kama shingo upande lakini baadae mpango wa kuumuunganisha mzee ulifanikiwa na kuahidiwa alichoahidiwa. Na, hatimaye safari ya kuvua gwanda na kuvaa gamba ilifanikiwa.
MH. HAONGA mbunge wa mbozi na david silinde wa momba watakuwa na majibu maana nahisi hawa wote wilaya moja ya mbozi ingawa silinde kwasasa yupo wilaya ya momba. nahisi watakuwa wanamjuwa
 
Ungesema tu kuwa Juliana Shonza au kama ni mwingine sema.Mnajifanya mna habari za kiuchunguzi wakati umesikia tu kijiweni.
 
Sasa huyo naibu waziri mwenyewe hadi kupata hiyo nafasi ameshazunguka vitanda kibao kufika hapo alipo atanaka katambi akatoe nn ili nae afaidi matunda? namsihi katambi achanganye na zake vinginevyo anaenda kutatuliwa muda sio mrefu!
 
patrobas mwenyewe alikua hana la maana bavicha sasa ya nini kumjua aliemrubuni!
 
Yasemekana kua kazi hii imeanza kufanyika kitambo kidogo, ilisimamanmiwa na Naibu Waziri mmoja kijana kabisa ambaye awali aliwahi kukitumikia CHADEMA katika ngazi ya juu kabisa kwenye taasisi ya BAVICHA.

Inaelezwa kua kiongozi huyo kijana alitumia muda mwingi kumshawishi bwana Kitambi aondoke CHADEMA kwani huko hakuna fursa, kwamba yeye aliondoka Chadema na kuhamia CCM ambako alithaminiwa na kupewa fursa za uongozi kama kugombea ubunge viti maalum na hatimaye kuteuliwa kua naibu waziri. Maneno hayo yaliendelea kumlegeza bwana kitambi na kuona majukumu yake ndani ya BAVICHA ni kama mzigo kwake, huyo mwanadada hakuchoka kumlainisha Katambi ili afanikishe lengo lake la kuendelea kupiga propaganda kua hata yeye aliwahi kuondoka CHADEMA kwa sababu hicho chama sio cha wengi.

Bwana mgodo aliahidiwa kuongea na bwanakubwa ili amwahidi kile ambacho yeye angepeda kupata tena ikiwezakana iwe zaidi kuliko alipokua awali na kupewa nafasi ya kuthaminiwa ndani chama dola. Kijana alikua kama shingo upande lakini baadae mpango wa kuumuunganisha mzee ulifanikiwa na kuahidiwa alichoahidiwa. Na, hatimaye safari ya kuvua gwanda na kuvaa gamba ilifanikiwa.
Juliana shonza
 
Back
Top Bottom