Tetesi: Aliyetumika kumrubuni Patrobas Katambi kuhamia CCM!

Mnachekesha kweli.. leo kanunuliwa kwa Milioni kesho kashawishiwa kwa kuahidiwa cheo.. Nasubiri kesho kutwa.
Pesa ndo inashawishi...kwa hiyo ww unafikiri alienda bure bure.
 
Mbona kamtaja. NW aliye wao kuirumikia CHADEMA.. Ujamaa Muhongo sana. Waziri mwenyewe kateuliwa hivi karibu ni Mchezo Habari na Utamaduni na vijana. Yule awezi. kwanza aliwai kupigana na bahathi ya wapunge wa UKAWA
 
Hivi Juliana Shonza bado analindwa na askari muda wote eti ili asidhuriwe na kina Kubenea?! Cha ajabu Lissu aliyeripoti kabla ya kushambuliwa na risasi hajawahi sikilizwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…