Aliyetunga Squid Game series ni mwehu kila alieshiriki iyo TV show amechezewa mchezo hadi ukiitazama tu ushachezwa mchezo

Aliyetunga Squid Game series ni mwehu kila alieshiriki iyo TV show amechezewa mchezo hadi ukiitazama tu ushachezwa mchezo

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Hii series nasema ndiyo best kabisa imeigiza maisha watu wanavyokimbizana na hatima zao Kwa tamaa ya pesa

Ila kinachoniumiza kichwa hii series Kila mtu ALIESHIRIKI amechezewa mchezo 😁hata UKIITAZAMA TU umechezewa mchezo pia

Ukimuhadisia mtu ndiyo kabisa utaona tu unahadisia ujinga kila tukio kwenye season 1 Lina maana kubwa season two so huwezi kuangalia two ukaelewa kama one haukuangalia

Ukiwa na akili timamu huwezi kuwaza kama aliewaza mtunzi wa hii series
 

Attachments

  • 20250102_052025.jpg
    20250102_052025.jpg
    314.7 KB · Views: 6
  • 20250102_052942.jpg
    20250102_052942.jpg
    202.2 KB · Views: 5
  • 20250102_052921.jpg
    20250102_052921.jpg
    77.2 KB · Views: 6
  • 20250102_052700.jpg
    20250102_052700.jpg
    332.7 KB · Views: 8
  • 20250102_051914.jpg
    20250102_051914.jpg
    409.2 KB · Views: 6
Na aliyeleta hii thread naye kashachezewa mchezo
 
Nko naiangalia apa hata sielew
Yaani Kila mshiri mle iwe muongozaji wa mchezo mchezeshaji kachezewa mchezo na Kila tukio la season one Lina maana season two wamepuyanga kwenye ku promote ushoga tu ila PB haigusi Kwa squid game
 
Back
Top Bottom