babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Huwa nawaza sana unaanzaje kuua mkeo au mtu kwa mambo ya kipuuzi tu.mwache aende ili ujiepushe na mengi.
Juzi mjinga mmoja kaniita mtumwa nikmwangalia nikataka nimtokee nimmalize sauti ya mungu ikaniambia achana nae. nikajiondokea.vinginevyo yule ningekesha nae tunaburutana tu huko nje.na bahati mbaya nikianza simalizi mpaka nihakikikishe umenock down.
Mengine unajiepusha tu.