babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wanawake hata Kama Wana hela kutuzidi wa play role yao ya mama wa familia.Nini kifanyike kurudisha maupendo
Ova
HahahahWanawake hata Kama Wana hela kutuzidi wa play role yao ya mama wa familia.
Wanaume tuache pombe na michepuko ya kiwazi wazi (hakuna mwanamke asiyependa kuheshimiwa)
Lkn above all, wanawake waache visingizio vya Mara tumbo linauma, Mara kichwa , Mara ngoja watoto walale, Mara ngoja nimalize novel yangu. Tupeni hicho kitu vizuri muone Kama Kuna mtu atachepuka. Especially kile Cha swalah swalah
Tatizo kuna wanaume napo wakishapata pesa100,000,000
Kwa mmoja.View attachment 2072128
Sio wote wamama wakizipata wanaume wanapata tabu saaaaana yaaniTatizo kuna wanaume napo wakishapata pesa
Yule aliyeanza naye life yuko naye tokea anapigika anamtosa,anawatafuta sasa wakina
Mbtuwy typ
Ova
Inategemea hapa.Ishiwa pesa uijue tabia ya mke wako.Tatizo kuna wanaume napo wakishapata pesa
Yule aliyeanza naye life yuko naye tokea anapigika anamtosa,anawatafuta sasa wakina
Mbtuwy typ
Ova
Mh ila mwanamke akikuzidi cheo,kipato,elimu nkInategemea hapa.Ishiwa pesa uijue tabia ya mke wako.
Wapo wanawake wanyanyasaji Sana wa waume zao waliofulia sasa hapa mume sio wa kulaumiwa akibadili usajili
Huyu Mzava namfahamu enzi zile za 2005-2010 alikuwa na biashara ya vinywaji na Pork nyuma ya fence ya EPZ/makuburiWana JF
Habari za kuaminika kutoka Muleba ni kwamba, mme wa Irene Mzava amepatikana akiwa hoi katika jaribio la kutaka kujua jana kwa rafiki yake ambaye alienda kujificha lakini ikashindikana baada ya watu kutoa taarifa kuwepo kwake eneo hilo.
Aliona wakinyatia, akafunga milango, akatafuta waya wa umeme extension cable, akajininginiza kwenye feni kwa lengo la kujitoa roho, watu wakawa wanangongea afungue yeye akawa anapambana kujiua ndipo wakamuwahi akiwa hoi, wakampeleka katika hospitali ya Kaigara,wakapima vipimo vyote akaonekana yupo sawa, wakamweka pingu, sasa yupo njiani akiletwa dar kujibu tuhuma za mauaji.
R.I.P Ireni hakika damu yako mzito, jamaa kakamatwa kabla ujazikwa.
Pia soma > Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea
View attachment 2070466
Mzava gani Mhaya we jamaaJamaa ni mzembe sana akina Mzava ni wahaya na jamaa kwa uzembe kakimbilia Kagera yaani kwao badala angevuka boda hata Uganda au Burundi
Ni wawapi?Mzava gani Mhaya we jamaa
Angewapooza wahuni wangemtoroshea Brazzaville akakae kwa amani.Sio mzoefu.. Damu ya mtu hunuka vibaya sana
Hakuna mwanaume wa hiviNingejua ningemwacha tu aendelee kuliwa nje mbona siku hiz hakuna cha pekeyako
Hakuna mwanaume wa hiv
Bora makofi mawili matatu na "kwa heri ya kuonana"Sasa bora lipi
Kupigana hapana bora tuachaneBora makofi mawili matatu na "kwa heri ya kuonana"
Hapana, nachukua watoto napeleka kwa shangazi yao wee nakuachia mke, huyu mmoja nawaza kumpeleka shule ya bweni sa hvNimuoe ili nikusaidie majukumu ya kulea uwe unajipigia tu
Umekosea, umemuumiza moto halafu muachane kirahisiKupigana hapana bora tuachane