Aliyeua wenzake akiwa amepandisha mapepo, anakosa kisheria?

Aliyeua wenzake akiwa amepandisha mapepo, anakosa kisheria?

Tofauti Na Kuiba. Unaweza Kujitetea Defense Of Bonafide Claim Of Right Ukapeta Zako... Au Kumjeruhi Mtu Inaweza Ukajitete (Self Defense) Ukadunda Bila Hata Kufungwa...

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
1: Atakuwa ameua. Then
(a) Alikusudia au
(b) hakukusudia
Uthibitisho wa kitabibu. Na uthibitisho huu utafanyika endapo wakili wa utetezi atasema mteja wake wakati wa kutekeleza mauaji alikuwa Insane.
Elizabeth Michael ( Lulu) alisababisha kifo (aliua).
Lazima ionekane kitendo cha uuaji bila kujali Situation ya uuaji. I'm not a learned brother.
Case site: Rep vs Elizabeth Michael.
 
Mkuu, kisheria mtu huyu anakuwa kwenye insanity interval -epileptic fits. Huyu hata akitenda kosa kuna defence yake, kwa vile anahesabika hakutenda kwa kukunuia (hakuwa na mens rea). Lakini defence hii itahitaji kudhibitishwa, kwanza na mkosaji mwenyewe na vilevile wataalam wa afya ya akili, kwamba wakati kitendo kinafanyika mkosaji alikuwa hatambui anachokifanya, na anayo maradhi hayo.
As long as at the material time hakua na control over his actions, basi hapo insanity inafanya kazi vema kama defence, na maelezo yako yamejielekeza kwenye medical insane lakin umesahau legal insane , kwamba sio lazima iwe medically confirmed kwamba n chizi ndo defense ya insanity ifanye kazi, la hasha mtu anaeza kuwa mzima kwenye macho ya kidaktari na vipimo vikaonesha ni mzima lakini akawa insane kwenye macho ya kisheria kama huyo accused mwenye mapepo lakini kama itathibitika kweli hakua na control over what he/she did at the material time..
 
Hajaua bila kukusudia. Kuua bila kukusudia ni jinai inayojitegemea. Hapa atadhibitika kuua, lakini mahakama haitamtia hatiani sababu alifanya kosa akiwa insane
Na learned ukumbuke pia defence ya insanity ili isimame lazima kuna condition Kama 3 hvii Refer the M'naghten Rule,

1.lazima isipitike kwamba wakati anafanya hcho kitendo alikuwa na matatizo ya akili .

2.lazima ithibitike kwamba Huyo accused did not know the nature and the quality of the act. Kwa kifup alikuwa hajui nini anakifanya.

3.kama alikuwa anajua nn anakifanya basi lazima isibitike kwamba alikuwa hajui nini kitakuja tokea bdae..

So mapepo sidhan Kama ni defence kweny criminal offences, labda defence au kitu ambacho mm Naona kitamsaidia n kwamba alifanya hcho kitendo akiwa hajui anachokifanya,,, so ni manslaughter which means dhamana atapata na anaweza kuwa huru

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Nilikuwa naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu mtu aliyefanya mauaji ya watu kazaa huku akiwa amepandisha mapepo,

Je atashtakiwa na kuhukumiwa kama wauaji wengine au atapewa excuse?

Chanzo ROMBO, KILIMANJARO: Apandisha 'mapepo' na kuwaua wenzie wawili wakibatizwa mtoni

Post sent using JamiiForums mobile app
Kosa LA kuuwa anapatikana nalo lakn kweny murder au kweny crime tunaangalia actus reus na mens rea

1.actus reus ni physical act tayar ameshafanya kitendo (ameua) hilo limepita lakin je

2.mens rea ,,state of mind( hapa ndo kweny issue)

Wakat anafanya tukio alikuwa kweny Hali gan kiakili?

Je alikuwa anafahamu? Nn anakifanya?

Je alikuwa anafaham nini kitakuja tokea bdae???

Ukishajib hayo unaweza pata jibu,, Kama watu watathibitisha alikuwa kweny condition ya mapepo inamaan alikuwa hajui nn anafanya, so yaweza ikawa manslaughter

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
As long as at the material time hakua na control over his actions, basi hapo insanity inafanya kazi vema kama defence, na maelezo yako yamejielekeza kwenye medical insane lakin umesahau legal insane , kwamba sio lazima iwe medically confirmed kwamba n chizi ndo defense ya insanity ifanye kazi, la hasha mtu anaeza kuwa mzima kwenye macho ya kidaktari na vipimo vikaonesha ni mzima lakini akawa insane kwenye macho ya kisheria kama huyo accused mwenye mapepo lakini kama itathibitika kweli hakua na control over what he/she did at the material time..
Swari LA kizushiii mapepo yamerud kwao na kapimwa kakutwa Hana kichaa, hapo ci atakuwa involved???

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
MURDER vs MANSLAUGHTER, zote unaenda ndani ila jail time ya manslaughter ni ndogo kulinganisha na murder! murder ni kuua kwa kukusudia yaani ulijipanga kabisa kuwa unaenda kuua na manslaughter ni kuua kwa 'bahati mbaya'!!
hii ya hapo juu nafikiri ni MANSLAUGHTER, ila pia wataangalia circumstances zilizosababisha yeye kuwaua! kama alikuwaga na bifu na mmoja wapo basi wataweza ichukulia kama murder kama wataridhika na ushahidi.
 
As long as at the material time hakua na control over his actions, basi hapo insanity inafanya kazi vema kama defence, na maelezo yako yamejielekeza kwenye medical insane lakin umesahau legal insane , kwamba sio lazima iwe medically confirmed kwamba n chizi ndo defense ya insanity ifanye kazi, la hasha mtu anaeza kuwa mzima kwenye macho ya kidaktari na vipimo vikaonesha ni mzima lakini akawa insane kwenye macho ya kisheria kama huyo accused mwenye mapepo lakini kama itathibitika kweli hakua na control over what he/she did at the material time..
Ndio maana nikasema kinachoangaliwa ni state of mind wakati wa kutenda kosa
 
Na learned ukumbuke pia defence ya insanity ili isimame lazima kuna condition Kama 3 hvii Refer the M'naghten Rule,

1.lazima isipitike kwamba wakati anafanya hcho kitendo alikuwa na matatizo ya akili .

2.lazima ithibitike kwamba Huyo accused did not know the nature and the quality of the act. Kwa kifup alikuwa hajui nini anakifanya.

3.kama alikuwa anajua nn anakifanya basi lazima isibitike kwamba alikuwa hajui nini kitakuja tokea bdae..

So mapepo sidhan Kama ni defence kweny criminal offences, labda defence au kitu ambacho mm Naona kitamsaidia n kwamba alifanya hcho kitendo akiwa hajui anachokifanya,,, so ni manslaughter which means dhamana atapata na anaweza kuwa huru

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
I concur
 
Ajitahidi lile "pepo" lionekane siku akienda kupimwa kama ni nut case. La sivyo "first degree murder" charge inahusika hapo.
 
Why??? Learned

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Depends whether alikuwa sane au la. kama hakuna sane watakachofanya baada ya upelelezi na vipimo kufanyika, atapelekwa zake Isanga kule dodoma kwaajili ya uangalizi kwa miaka mitatu na kwa maelekezo ya waziri wa sheria na katiba kama atakuwa amepona ndio ataachiwa kwenda mtaani. though it's all a matter of evidence, kwa ordinary person katika mazingira kama yale kama angefanya icho kitendo akiwa na akili timamu. ili murder iwe proved, prosecution will need to prove a premeditated malice aforethought na hapo ukumbuke ili malice iwepo lazima mens rea iwe wazi kabisa. kinyume na hapo mtu atapelekwa mental institution au atapata manslaughter which is a lesser offence to murder. hivyo kama kweli itakuwa proved kwamba conduct yake wakati anaua hao wenzie haikuwa conduct ya mtu mwenye akili ya kawaida kwa kipimo cha ordinary person, basi either of the two above vinaweza kumkuta. manslaughter au apelekwe mental institution.
 
Back
Top Bottom