Aliyevuliwa Umeya Moshi autaka tena, achukua fomu kuomba upya

Aliyevuliwa Umeya Moshi autaka tena, achukua fomu kuomba upya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine.

Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura 18 kati ya 28 zilimkataa.
 
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , Amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine ...
Atauchukua tena kwa sababu alinyang'anywa kwa hila.

Ni hivi majuzi tu baraza hilo hilo la madiwani lilithibitisha rasmi.

Na pia taarifa ya kikosi kazi kuchunguza hizo tuhuma lilithibitishwa kuwa ni njama ovu dhidi yake.

Tunasubiri taarifa za huko Karanga.
 
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , Amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine .

Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye , ambapo kura 18 kati ya 28 zilimkataa .
Huyu si anakesi ya uhujumu uchumi?
 
Meya wa zamani wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, Juma Raibu aliyevuliwa wadhifa huo baada ya kupigiwa kura za siri na madiwani za kukataliwa amejitokeza tena leo Juni 13, 2022 kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania nafasi hiyo.
 
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine.

Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura 18 kati ya 28 zilimkataa.
 
Attachments

  • 58F2638F-6A5A-4AB7-B15C-99D8C1C7378D.jpeg
    58F2638F-6A5A-4AB7-B15C-99D8C1C7378D.jpeg
    64.7 KB · Views: 7
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine.

Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura 18 kati ya 28 zilimkataa.

Raibu aliyefukuzwa Umeya Moshi mchawi wake ni mbunge wa Jimbo la Moshi mjini, Priscus Tarimo kuhofia Raibu atamngoa ubunge mwaka 2025.​

Back
Top Bottom