Aliyevuliwa Umeya Moshi autaka tena, achukua fomu kuomba upya

Aliyevuliwa Umeya Moshi autaka tena, achukua fomu kuomba upya

"Wananchi Moshi Wamchangia Aliekuwa Meya Wa Moshi Juma Raibu Fedha Kwa Ajili ya Kuchukua Fomu Tena Kuwania Umeya Kwani Wanasema Anafaa Ktk Nafasi Hiyo, Maelfu Ya Wananchi Hao Wanejotokeza Leo Nyumbani Kwake Kata Ya Bomambuzi Manispaa Ya Moshi, Wananchi wamesema arudishwe tena" https://t.co/4YMGE35FZA
IMG-20220613-WA0140.jpg
 
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine.

Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura 18 kati ya 28 zilimkataa.
JUMA RAIBU namini kama ni shoga hayo ni mambo yake binafsi na asihukumiwe kwa hilo, anapaswa kulindwa na wazungu kama mashoga wengine wanavyolindwa:

Ameondolewa umeya kwa kuhudhuria sherehe ya mashoga zake sasa kwani ni dhambi? Sheria inakataza kuhudhuria birthday ya mashoga ?
 
Back
Top Bottom