Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Atauchukua tena kwa sababu alinyang'anywa kwa hila.Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , Amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine ...
Huyu si anakesi ya uhujumu uchumi?Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , Amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine .
Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye , ambapo kura 18 kati ya 28 zilimkataa .
Inamaana hajakamatwa mpk leo?Atauchukua tena kwa sababu alinyang'anywa kwa hila.
Ni hivi majuzi tu baraza hilo hilo la madiwani lilithibitisha rasmi.
Na pia taarifa ya kikosi kazi kuchunguza hizo tuhuma lilithibitishwa kuwa ni njama ovu dhidi yake.
Tunasubiri taarifa za huko Karanga.
Nashangaa kwanini yupo nje hadi saiz wakati wenzie wapo rumandeHuyu si anakesi ya uhujumu uchumi?
Kuwa CCM ni kinga tosha kabisa
CCM inachagua wa kuwashitaki , unamkumbuka Lusubilo Mwakabibi ?
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine.
Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura 18 kati ya 28 zilimkataa.
Ukwaju😂😂Basi safari hii akikalia kiti hicho agangamale, awe shababi hasa sio mambo ya kipunga na kuutetea ibwabwa
CCM inarudisha jina lije lipigiwe Kura?Na atashinda tu