Aliyewaficha waliotengeneza Korona ni nani; Siamini kama dunia imeshindwa kuwatambua wahusika wakati kila kitu kiko wazi!?

Aliyewaficha waliotengeneza Korona ni nani; Siamini kama dunia imeshindwa kuwatambua wahusika wakati kila kitu kiko wazi!?

Ebu Leo tuambizane ukweli hapa!!

Hivi ni kweli kabisa Dunia imeshindwa kuwakamata waliotengeneza kirusi cha korona?

Mataifa makubwa wameshindwaje kung'amua mipango ya uaandaaji wa kirusi hiki hadi project ikakamilika?

Ukiangalia mtandaoni zipo video nyingi sana ikiwemo (Contagious) zilizotabiri ugonjwa huu unavyosambaa kwa njia ya hewa, je mataifa makubwa wameshindwaje kuwahoji hawa watu walioandaa hizo video?
Zipo kauli za matajiri akiwemo Billgates alinukuliwa kushabikia ugonjwa huu, je amewahi kuhojiwa kwa lolote?
Haya kirusi cha kwanza kimetoka kimya, cha pili kilichoboreshwa nacho kimekuja kwa kasi, kimyaaa!

Inamaana Dunia imeshindwa kabisa kujua hata ilipo maabara hii ya hawa waharamia?

Ulinzi wa Dunia uko wapi?

Hawa wahuni wanavyotupelekesha hivi wanalipwa na nani?

Kuna project nyingine Lukuki za hatari zipo maabara, je Dunia huwa haioni mapema mambo haya? Mfano project ya (IJUE KESHO YAKO LEO)! Ni project itakayoongeza machafuko kama ikikamilika!

Je; ni kweli hawa watu hawakamatiki kuinusuru Dunia?
Wuhan virology safety laboratory huko China.

Fatilia simulizi ya Habib Anga ya Uhandisi wa binadamu
 
Kwani africa tupo kwenye juhudi zozote kuwatambua hao watu......sisi kila kitu tunaskiliza hao wajamaa wanasema nini then tubebe hicho hicho,
Yaan tunaishi maisha ya kucopy na kupest
 
Back
Top Bottom