Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Mganga ana nafas yake na kujiandaa Kuna nafas yake kama hukunielewa utafel pakubwaSi ulisema una mganga mihumbigwa imefeli?.
Mganga nafasi yake iko wapi.Mganga ana nafas yake na kujiandaa Kuna nafas yake kama hukunielewa utafel pakubwa
Mganga nafasi yake kwenye kung'arisha nyota na kufanya watu wakuzingatie kama ushawah fanya biashara utanielewa kama kaka WA nyumbani utaendeleza ubishMganga nafasi yake iko wapi.
Conection ndo kila kitu hayo mambo ya nyota yamepitwa na wakatiMganga nafasi yake kwenye kung'arisha nyota na kufanya watu wakuzingatie kama ushawah fanya biashara utanielewa kama kaka WA nyumbani utaendeleza ubish
Sawa tafuta koneshenConection ndo kila kitu hayo mambo ya nyota yamepitwa na wakati
mambo yanaenda kasi sanaConection ndo kila kitu hayo mambo ya nyota yamepitwa na wakati
Aisee ukipata tujuzane mkuu. Hata mi nime apply Ila mbele yangu ni gizaHabari wakuu,
Naomba kuuliza Kwa wale ambao mshawahi kupitia katika interview za TANROADS katika nafas za weighbrige officer naomba msaada wenu nijiandae wapi na wapi
Natanguliza shukurani.
Hakuna usaili rahisi kama wa nafasi za tanroads mizani. Kama kweli vyeti vi vyako, usihofu.Aisee ukipata tujuzane mkuu. Hata mi nime apply Ila mbele yangu ni giza
Jamani na mimi pia nipo najiandaa na Interview hiyo hiyo ha Tanroads please usisahau kushare kwangu pia ingawa me ninayo Connection ila lazima pia nijiandae kiasiHabari wakuu,
Naomba kuuliza Kwa wale ambao mshawahi kupitia katika interview za TANROADS katika nafas za weighbrige officer naomba msaada wenu nijiandae wapi na wapi
Natanguliza shukurani.
Lots of companies hire people who don’t have the qualifications for the job.Habari wakuu,
Naomba kuuliza Kwa wale ambao mshawahi kupitia katika interview za TANROADS katika nafas za weighbrige officer naomba msaada wenu nijiandae wapi na wapi
Natanguliza shukurani.
Eeh weighbridge imekubali? Umesoma kozi gani?Aisee ukipata tujuzane mkuu. Hata mi nime apply Ila mbele yangu ni giza
EeehhhJamani na mimi pia nipo najiandaa na Interview hiyo hiyo ha Tanroads please usisahau kushare kwangu pia ingawa me ninayo Connection ila lazima pia nijiandae kiasi
Business administration. Wewe JeEeh weighbridge imekubali? Umesoma kozi gani?
Banking. Nlijua umesoma accountsBusiness administration. Wewe Je