Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

Kwahio mpk sasa hakuna group la weight bridge wakuu ? Tupeane hints
 
Nitafute 0758 484726 na 15K yako
Jamani kuunga tu group la kujadili maswali ambayo yanaweza kutokea tukupe hela???! Kwani tukikupa io 15k ndo tumepata kazi??! Mtu anatafuta kazi anaangalia namna ya kujiandaa tena wewe unasema aje na 15k🙄🥹🥲aisee tusaidiane tu sisi wengine mayatima maisha yetu sio mazuri MUNGU akisaidia tukipata izo kazi ndo tuanze kujiangalia
 
ndio hvo jamaa anatafta ulaji kupitia struggle za wengine...
 
Lakini io sio sawa kwa sababu hamna uhakika wa kupita ata ukimpa io 15k me siezi jiunga kwa group na hela…Kama MUNGU ameniandikia kupata izo kazi nitapata ata bila connection
 
Maisha lazima utafute kijana kwani hata muhusika naye amelipa hyo pesa
 
Hivi kibaha hawajaita tu kwenye Interview miezi miwil sasa kimya
 
Jamani kuunga tu group la kujadili maswali ambayo yanaweza kutokea tukupe hela???! Kwani tukikupa io 15k ndo tumepata kazi??! Mtu anatafuta kazi anaangalia namna ya kujiandaa tena wewe unasema aje na 15k🙄🥹🥲aisee tusaidiane tu sisi wengine mayatima maisha yetu sio mazuri MUNGU akisaidia tukipata izo kazi ndo tuanze kujiangalia
Achana na hilo tapeli
 
Nimetafakari andiko lako nikaona nishare haya maswali kama muongozo ktk kuelekea usaili wa TANROAD kwa watakaochaguliwa nafasi ya afisa MIZANI (WEIGHBRIDGE OFFICE -II)- TANROAD.
 
Attachments

Unapigwa maswali ya papo kwa papo
"Kama gari ina ekseli sita na uwiano wa uzito upande kushoto ni mara tatu ya robonusu ya mzingo wote, je gari nzima imebeba tani ngapi"?
Hapo unafanya cross multiplication tu
 
ndio hvo jamaa anatafta ulaji kupitia struggle za wengine...
Na watu kama hao wanakuwaga maskini maisha yao yote licha ya kuokoteleza hivyo vi 15k... maana wanapitia kwenye matatizo ya watu kujiingizia pesa na tena watu hao unakuta hizo pesa hawana wanaenda kukopa hili waje wampe yeye, sasa si kuchuma laana huko?
 
Nimetafakari andiko lako nikaona nishare haya maswali kama muongozo ktk kuelekea usaili wa TANROAD kwa watakaochaguliwa nafasi ya afisa MIZANI (WEIGHBRIDGE OFFICE -II)- TANROAD.
MUNGU AKUBARIKI ZAIDI NA ZAIDI KWA WAKATI WAKE SAHIHI………HAUTUJUI UNGEWEZA KUPITA KAMA UPEPO LAKINI UMECHAGUA KUTUSAIDIA…..WENGINE HATUNA CONNECTION LAKINI NINA HAKIKA KWA MSAADA WA MUNGU KWA KUWATUMIA WATU KAMA NYIE TUTAPITA….ASANTE SANA🙏🏽
 
Asante kwa kuniita tapeli, wewe mwenzangu sio tapeli. Mungu akupe roho hiyhyo lakini ujue hata mimi sijaupenda huu utapeli unaoniita leo.
Acha kutoa sababu zisizo za kweli…acha kujifanya wewe ndio muhanga…watu wanakwambia ukweli kuwepo kwenye hali ngumu ya maisha sio sababu ya wewe kuwafanyia watu ivi…….acha bwana kufanya ivi kama hautaki kumsaidia mtu kwa upendo pita tu kimya kimya kwasababu msaada sio haki ya mtu……..ivi unafanya ni kujichumia masikitiko ya watu juu ya kichwa chako watu wanaweza kukupa izo 15k lakini wasipopita watakulaumu sana wewe hata kama hawakutia juhudi maneno yao yatafanya usiendelee……lakini ukimsaidia tu mtu ata asipopita atakukumbuka tu atasema sijapita ila MUNGU ambariki mtu fulani alijitoa wakati wa uhitaji wangu…..wanao fanikiwa wengine sio maombi yao ni maombi ya watu wengine wanayowaombea kwa wema walioutenda kwao…..be kind na MUNGU atakua muaminifu juu ya maisha yako. TUNASHUKURU KWA KUTUSAIDIA TUNASHUKURU MUNGU AMEKUONGOZA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI🙏🏽📌.
 
Back
Top Bottom