Aliyewahi kukutana na majibu ya HIV kama haya Msaada please

Huwa una mambo ya kikum sana we kummnyoko, sasa ulitaka akufir wewe???
R.I.P in advance buriani mwana JF mwenzetu

20250525_125308.jpg
 
Okay pole hapo majibu ni negative .
Sababu zinazoweza kuleta False positive results.
1.Kama hutafuta maelekezo ya watengenezaji wa kipimo(mfano umeambiwa soma majibu ndani ya dk 15 halafu wewe ukazidisha muda au kama uliambia fanya hivi wewe ukafanya vile).
2.kipimo kilichoisha muda wake wa matumizi.
3.Contaminated sample (sample ikiwa imechanyika na vitu visivyotakiwa).
4.Makosa ya kibinadamu.

Nk

Kwa hiyo mkuu kwa kesi yako wewe unangukia kundi la kwanza umesoma majibu baada ya muda wake kisheria kupita hiyo lazima itajitokeza hiyo mistari ,lakini pia angalia hiyo mistari haiwezi kulingana na ile ambaye mtu akiwa positive.

Relax mkuu na fanya mambo yako.
 
Wazee Jana kiutani utani nikasema ngoja nichukue kipimo nicheki ngwengwe,
Kuna manzi nilipita naye, sikua na mashaka naye wala sikua namuamini sana, baada ya kumuona mambo mengi ndio hilo wazo likanijia...

Nikaenda phamasi(jana ndio nimejua kumbe hivi vipimo haviruhusiwi kabisa kuuzwa kwenye maduka ya dawa) maduka mengi walikua hawana, nilipopata alifanya kwenda kuniletea..

Nikaja home nikapima..
Picha linaanza kwanza Damu haitokii kila ukichoma,
Nikasema eheeee, Wadudu wameng'ang'ania damu yao..

Basi bana nikaipata kidogo, nikaweka(nilisahau kuweka ile Buffer solution) baadae nilivyokumbuka ndio nikaweka kidogo sana maana nilikua nishaimwaga..

Mwanzo Kitu ikasoma Negative (yaani mstari mmoja kwenye C) nikaona aaah ni kawaida tuu..
(Binafsi Naweza nikasema sio prayer, ni mara chache mno napiga mademu, ni mpk ni calculate sana,) hivyo sikushangaa...

Basi banaa baada ya muda kama Lisaa hivi Nachukua kipimo ili nikitupe,
Paaaap Nakutana na kastari Pale kwenye HIV, View attachment 3476906​
Nikarudi kinyume nyume huku naongea lugha ambayp sijaijua ni lugha gani mpk sasa,

Sikuamini macho yangu, Nilikua ofisini, watu wanakuja nikawaambia Ondokeni ofisi imepata dharura ya kimtandao..

Nikarudi home, hapo ilikua saa Mbili usiku,
Wazo la kwanza nikwenda kutafuta kipimo kingine..
Nikatoka halafu nikampigia yule manzi, nikam maindi kinyamaaa, mwenyewe akapanic,

Kufika phamasi kila ninayogusa wanasema haturuhusiwi,

Nikarudi ilibakia kidogo nipitiwe na Semi, ila moyoni nikajisemea hata lingenipitia nina faida gani tena Mzinzi mimi..

Wazee huu usiku ulikua mgumu sanaaa, nakumbuka nililala saa 6:35 nikaamka saa 6:58, ndio mpk asubuhi,
Ilifikq hatua naenda uwani nimeshika simu najisahau sijavaa nguo, eti naweka simu mfukoni, nashtukq ikianguka..

Kumi na mbili kamili, nikapiga maji nikasema hapa ni kwenda kwenye ile ile phamasi niliyopata jana,
Nimefika wanafagia nikamwambia naomba vipimo viwili kama vya jana, yule dada akashangaa,
Hapo lengo nipime mimi na huyo demu..

Nikatoka, nyumbani niliona Mbali nikatafuta sehemu iliyokaribu na choo nikapima ili tumbo likijibu choo kipo karbu..

Kwanini nilirudia,
1. Sikua nimefuata taratibu vzr, nilikifungua kile ki test kikakaa dk kama 20 hivi wazi,
2. Niliweka damu ikawa chache ikakauka nikapotezea kwanza nikasema haina haja..
3. Baadae nikajichoma tena ikatoka kdg ndio nikamimina na ile solution yake ilikua chache..
4. Kuna mtu aliniambia wewe cheza na dakika zile walizokuandikiq kwenye kipimo, ndani ya hizo dk ndio kunakua na majibu sahihi..

Basi bana, nika erase hizo errors zote nikapima kwa mara ya pili,
Majibu baada ya dk 20 na mpk asaivi yakaja hivi..View attachment 3476908​
Japo baada ya lijisaa na nusu naona damu inasambaa, ila mstari wa C bado upo.

Hapa ni vipimo vyote viwili View attachment 3476909​
Cha kushoto chenye mistari miwili ndio cha jana usiku, cha kulia kilichosambaa damu ndio cha leo ni masaa matatu tangu nipime.

Nipeni mawazo wakubwa, ndio naaga Ugali?

Wazee tunaposemaga ukimwi sasa ni jambo la kawaida, hayo maneno ni endapo haukuhusuu.
Chai.

Mara useme umepima home mara ofisini.

Njia ya muongo fupi.
 
Jf siku hizi sio sehemu ya kuhitaji ushauri, msaada wala mawazo serious.
Huku ni kuja kurefresh mind, ucheke, upotezea mawazo na kupiga umbea kama kina sisi halafu ya maana yafanye huko nje.
 
kwaiyo ndo umeamua kwenda kukamua wale mabikra72 hibi hivi daaah??
 
Kuna mjomba wangu nae alikuwa hvy hvy, hakumaliza wiki mbili tukamzika wima wima futi 12 kwenda chini.
 
Majibu ya kwanza ndio sahihi, hivyo vidude ni vya instant check, unatakiwa upokee majibu ya kwnz kwa vyovyote ikishachelewa inaletaga hiyo mizengwe
 
Back
Top Bottom