Aliyewahi kukutana na majibu ya HIV kama haya Msaada please

Mungu ameamua kukupitisha kwenye huo mtihani ili uwe muangalifu zaidi,
Hiyo ni kama umeletewa alert ili uwe makini zidi na ujue thamani ya maisha/Afya,

Hope umejifunza kitu,
Be careful and stay safe.
 
Okay pole hapo majibu ni negative .
Sababu zinazoweza kuleta False positive results.
1.Kama hutafuta maelekezo ya watengenezaji wa kipimo(mfano umeambiwa soma majibu ndani ya dk 15 halafu wewe ukazidisha muda au kama uliambia fanya hivi wewe ukafanya vile).
2.kipimo kilichoisha muda wake wa matumizi.
3.Contaminated sample (sample ikiwa imechanyika na vitu visivyotakiwa).
4.Makosa ya kibinadamu.

Nk

Kwa hiyo mkuu kwa kesi yako wewe unangukia kundi la kwanza umesoma majibu baada ya muda wake kisheria kupita hiyo lazima itajitokeza hiyo mistari ,lakini pia angalia hiyo mistari haiwezi kulingana na ile ambaye mtu akiwa positive.

Relax mkuu na fanya mambo yako.
 
Chai.

Mara useme umepima home mara ofisini.

Njia ya muongo fupi.
 
Jf siku hizi sio sehemu ya kuhitaji ushauri, msaada wala mawazo serious.
Huku ni kuja kurefresh mind, ucheke, upotezea mawazo na kupiga umbea kama kina sisi halafu ya maana yafanye huko nje.
 
kwaiyo ndo umeamua kwenda kukamua wale mabikra72 hibi hivi daaah??
 
Kuna mjomba wangu nae alikuwa hvy hvy, hakumaliza wiki mbili tukamzika wima wima futi 12 kwenda chini.
 
Majibu ya kwanza ndio sahihi, hivyo vidude ni vya instant check, unatakiwa upokee majibu ya kwnz kwa vyovyote ikishachelewa inaletaga hiyo mizengwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…