Aliyewahi kukutana na majibu ya HIV kama haya Msaada please

Uko Negative Mkuu.

Alafu unaonekana uliweka Damu nyingi sana.
 
Ulifanya makosa
1. Baada ya kuweka tu damu unatakiwa kuweka buffer haraka sana. Ukichelewa ni sababu ya kupata majibu yasiyo eleweka
2. Baada ya kuweka sample na buffer unatakiwa kusoma ndani ya dk 15. Majibu utakayosoma baada ya dk 15 yanaweza yasiwe sahihi kwasababu huweza kubadilika. Kubadilika huko hakumaanishi ni majibu halali.
3. Ili kuondoa doubts fika hospitali wakupime Uwe na uhakika wa majibu yako.
 
😁😁😁😁
 
Nenda hospital kijana acha wenge, usiendekeze sana utelezi sasa.
 
Unajisifia kabisa wewe sio prayer? Haujui ya kuwa Mungu yupo?
 
Katika vitu siwezi kujaribu kupima ni ngoma!

kuna dokta wangu nilimpa damu achek group et akajiongeza akapima na ngoma
nilimfokea kinoma pimbi yule!
 
Wewe upo Dar kwenye joto sana na hicho kipimo umekaa nacho kwa muda mrefu sana so matokeo sio valid, yale ya kwanza ndo valid... inaonekana ulipima alafu ujatunza uonyeshe watu
 
Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…