[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787] mkuu Hapo umetuwezaAliyemuona Salama jabir kimini au skirt aje achukue laki.
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] life flan la kuunga unga ..Iyo milioni ataitoa wapi wakati anaishi kwa kwa shemeji yake, bando lake lenyewe la jero limeshakata. Mwacheni tu
HahahahahHana uwezo huo ....maisha yake n ya kidananda ndo maana anajikuta Familia nzima ya WCB anaijua.
.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni naibu waziriNdio nani huyo huko daslamu?
Ndo maana mnatwangana risasiMkuu nipo lindo crdb leo usinisahau ata ganja ya buku 5 na rizla utanipitishia pale
Mkuu acha izo πππ unajua walikua na shida gani wale jamaa?Ndo maana mnatwangana risasi