Aliyewahi kumuona Lil Ommy na shati au tisheti ya mikono mifupi, kuna milioni moja yake aje achukue

Aliyewahi kumuona Lil Ommy na shati au tisheti ya mikono mifupi, kuna milioni moja yake aje achukue

Iyo milioni ataitoa wapi wakati anaishi kwa kwa shemeji yake, bando lake lenyewe la jero limeshakata. Mwacheni tu
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] life flan la kuunga unga ..
Kwamba wa mwisho kulala, wa kwanza kuamka coz analala sitting room , anasubir shem amalize kuangalia mpira ..ndo na yeye alale
 
ebu lete huo mpunga fasta, kama ulikuwa unamfanyia promo imekula kwako hiyoo, otherwise ban inakuhusu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwana katelekeza Uzi, kaingia mitini[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom