Huyu bwana mdogo anajikutaga mjuaji na mtoto wa mjini ...ila ana ufala mwingi sana ....kaulizia mikono kaonyeshwa anakimbia ...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Huyu dogo kashatoa million ya watu?!?! au anadhani kupata millioni ni rahisi tu kama kulamba lipsi pale Sinza..atoe hata kisamvu cha kopo kama ameshindwa kutimiza ahadi