Aliyewahi kumuona Lil Ommy na shati au tisheti ya mikono mifupi, kuna milioni moja yake aje achukue

Aliyewahi kumuona Lil Ommy na shati au tisheti ya mikono mifupi, kuna milioni moja yake aje achukue

Huyu dogo kashatoa million ya watu?!?! au anadhani kupata millioni ni rahisi tu kama kulamba lipsi pale Sinza..atoe hata kisamvu cha kopo kama ameshindwa kutimiza ahadi
 
Kaulizia mkono kaonyeshwa bado kuukalia tuu
 
Kaulizia mkono kaonyeshwa bado kuukalia tuu
 
Km vp atoe idhin ya kulipiwa alaf aje chemba tujadil namna ya kulipana
 
Mimi anitafutie picha ya jamaa akiwa kichwa wazi bila ya kofia..nimpe mil 5
 
Back
Top Bottom