Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Nimepita huko kwenye ukurasa wao, nikakuta vifurushi vipo hivyo, je huduma ipoje kwa aliyewahi kuitumia njoo utujuze, maana naona kidogo itakuwa nafuu.
80141D64-2A33-4A5F-8025-62396D39CBA9.jpeg
 
Mi ndo ninayotumia,Ni huduma nzuri sana,Nina mwaka na zaidi naitumia,kwa elf 30 kwa mwezi napata gb 24, dk 2400( mitandao yote) na sms 500 . Ifikapo trh 1 ya kila mwezi unawekewa bundle yako

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Unapokeaje invoice ? Mimi nilitumia kidogo invoice nikawa sipati kwahiyo siwezi kuclaim reimbursement nikapiga chini.
 
Back
Top Bottom