Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

Achana na Post paid utakuja kulia. Endelea na utaratibu wako wa pre paid. Sitaki kuingia kwa undani lakini nakushauri wacha kabisa hiyo.
Mkuu ni heri ufafanue walau kwa ufupi
 
Mkuu huduma ipo fresh kabisa ingawa wengine tunazimaliza hizo gb24 hata kabla mwezi haujakatisha mfani mimi nimetoka kulipia jana unaweza ukachelewa hata kulipia ila maisha yanakua fresh simu yangu ni full vocha..mimo tangu mwaka jana nabonda tu 30,000
 
Attachments

  • 20220809_185859.jpg
    20220809_185859.jpg
    77.9 KB · Views: 86
Mkuu huduma ipo fresh kabisa ingawa wengine tunazimaliza hizo gb24 hata kabla mwezi haujakatisha mfani mimi nimetoka kulipia jana unaweza ukachelewa hata kulipia ila maisha yanakua fresh simu yangu ni full vocha..mimo tangu mwaka jana nabonda tu 30,000
Data jumla 15gb + 394 mb ina maana gani mkuu?
 
Mwezi huu wa 8 kuna ofa ya 30gb kwa 25k

Aaah nimejilipua jana nkaenda tigo shop na National ID leo wameniunga nakula huduma wako vizuri
 
Hizi naona zimepungua sababu zilikuaga 30GB halafu sijawahi kuangalia kama zinaongezeka au laa zikiisha huku naweza za voda kuvuta vuta mwezi mwingine uingie
Vodacom wanahuduma ya postpaid kadi internet wao wapo vizuri maana gb zikiisha inakuwa connected kwa 1mbs mpaka mwezi uishe mm naona vodacom wamefanya vizuri sana
 
Mwezi huu wa 8 kuna ofa ya 30gb kwa 25k

Aaah nimejilipua jana nkaenda tigo shop na National ID leo wameniunga nakula huduma wako vizuri
Mkuu hii kifurushi bado kipo? Maana leo asubuhi mhudumu kwenye simu kamtajis hyo kifurushi jion nikapiga mra mbili ili kuuliza ya dakika nashangaa walopokea wote wawili kila moja kantajia kifurushi anojuwq yy kila moja tofauti na mwenzke ss sielewi...hii kifurushi cha offer ulifania nn mpka kuipta
 
K

Kipo
 
Back
Top Bottom