Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

Mi ndo ninayotumia,Ni huduma nzuri sana,Nina mwaka na zaidi naitumia,kwa elf 30 kwa mwezi napata gb 24, dk 2400( mitandao yote) na sms 500 . Ifikapo trh 1 ya kila mwezi unawekewa bundle yako

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Unapokeaje invoice ? Mimi nilitumia kidogo invoice nikawa sipati kwahiyo siwezi kuclaim reimbursement nikapiga chini.
 
Unaenda ofisi yoyote ya tigo ukiwa na NIDA au kitambulisho chochote mfano cha kupigia kura au leseni ya udereva,unajaza fomu unachagua bundle kulingana na uwezo wako kiuchumi
Ofis 2000 au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…