Aliyewahi kuutesa moyo wangu ananitaka

hapo mie ndio napataka sasa, nikiwakuta huko walaahh nitapambana na kichwa maji wangu,eehh lakini huyo mwanamke anifate mpaka kwangu khaaa mbona ana moyo, nikiwa namjua na nimemkuta nje ya geti tu kasheshe anayo ndio ijekuwa anigongee ndani kwangu?.....wengine nyie mlitakiwa muwe ma sister jamani.
 
B na hii ni kwa hisani ya watu wa 'Merekani'?

LOL...hapo sio kwa hisani.....ila ni kwamba baada ya wengine kupiga 'makelele' hapa naona wamesahau ile kauli mbi kwamba infidelity...........
 
hahaaaa kama mimi dearest lol!!
 
huyu hakufai balozi nahisi ana kasababu kakurudi kukutafuta bse mwanamke anaejiheshimu hawezi kujishusha thamani hivyo hata kama anakupenda. inabidi aukubali ukweli ameshapoteza bahati hapo kwako. tunza ndoa yako maana ukikubali kuwa nae unaweza jikuta unasahau familia yako kabisa.
 
LOL...hapo sio kwa hisani.....ila ni kwamba baada ya wengine kupiga 'makelele' hapa naona wamesahau ile kauli mbi kwamba infidelity...........

hivi B nani ana hisani Infidelity??? ni hilo tu kwa leo
 
kwa hili naanza kufukiria suala zima la kukumilikisha bastola kama litakuwa la busara ama la....
 
haa wengine nyie mlitakiwa muwe ma sister...huyo wa kunifata nyumbani kwangu ajiandae kwenda MOI moja kwa moja.
 
kwa hili naanza kufukiria suala zima la kukumilikisha bastola kama litakuwa la busara ama la....

wacha tu....kuna mambo hayavumiliki ati jamani, kalaa huko nje kaona sasa anifate na ndani?..hapana dharau kubwa sana hiyo, mie aclogwe hata akachukua cm ya mr apekuwe no yangu aniletee uswahili mana atakuwa amechokonoa pacpo chokonolewa....
 
yaani wewe ndio kabisa kabisa...lol

ujue dearest, u have a point.........yaani unifanyie madudu huko mabli na nisiyajue!! hamna kitu mbaya kam kujua kun alimtu linanyemelea chako aisee, tena anawinda mpaka maeneo ya home kiivo, dharau gani hizo sasa.

cheza na mimi usicheze na wangu lol!!!
 
khaaa...nachukulia tu nipo na mr tumekaa ndio kamuona mtu wake amegonga anaingia nadhani ataanza kwanza yeye kuzimia mana anajua kasheshe yake hapo....dharau nyingine zinapitiliza dearest.
 
khaaa...nachukulia tu nipo na mr tumekaa ndio kamuona mtu wake amegonga anaingia nadhani ataanza kwanza yeye kuzimia mana anajua kasheshe yake hapo....dharau nyingine zinapitiliza dearest.

afu mpaka ifikie hatua ya kuanza kuvunjiana heshima kiasi hicho aisee........some 'disciplinary measures' need to be taken.....hahaaaaaaaaa kwako naona itakuw akutemebeza kichapo lol!!!
 
khaaa...nachukulia tu nipo na mr tumekaa ndio kamuona mtu wake amegonga anaingia nadhani ataanza kwanza yeye kuzimia mana anajua kasheshe yake hapo....dharau nyingine zinapitiliza dearest.

Kuna shemeji yangu mmoja juzi kapata so, wife kaondoka anaomba tumbembelezee arudi. Chanzo ni kwamba shem ana girl friend wake na huyo girl friend anapiga simu usiku wa manane akimtaka jamaa kwenda kwake, na bila hiyana jamaa anaaga na kuondoka. Kuna time alipanga zamu za kulala huko nje kabisa.Wife amemsihi sana aachane nae lakini jamaa anasema anampenda sana. Wife kamwambia kama unampenda kihivyo basi muoe ajulikane officialy jamaa anasema hana uwezo wa kuoa wake wawili. Mnafanyaje katika situation kama hii?
 
huyu shem wako anaweza kuja muda akaachana na hayo ya kujidai anapenda wawili, yashanikuta ya design hiyo!
 
Uinategemea alikutesa kiasi gani \mpe aendelee kuutesa kidogo utaweza kuishi kwenye ndoa kwa amani..unajua ndoa isipokuwa na majaribu auwi stroooooooooooooooooooong
 
balozi
wewe mmege tu alafu umuweke pembeni ndio atajifunza
onyo: hizo zawadi alizokuletea usichukue anaweza akawa ameshazipeleka kwa babu kabla ya kukupa wewe...
 
balozi
wewe mmege tu alafu umuweke pembeni ndio atajifunza
onyo: hizo zawadi alizokuletea usichukue anaweza akawa ameshazipeleka kwa babu kabla ya kukupa wewe...

Semilong, sidahni kama nitamfundisha adabu kwa kujitesa mimi na familia yangu. Bora yesheee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…